Leo kuna habari kuwa Sherri Shepherd wa The View, amepunguza uzito lakini alikataa kupunguza matiti yake makubwa. Nampongeza Da Sherri kwa msimamo wake. Hivi kwa nini uzungu haupendi matiti makubwa na matako makubwa! Wanataka wanataka wembamba ambao wakitembea unasikia mifupa unagongana. Wanawake wenye asili ya Afrika wamebarikiwa na matakao makubwa na vifua, lakini wamefundishwa kuwa ni kinyaa. Kama mnakumbuka Queen Latifah alipuguza matako yake na matiti yake akidhani itamsadia kupata roles zaidi katika sinema za wazungu. Wala sijaona huo ongezeko la offa za sinema kwake. Nasema bora angebaki kama alivyokuwa maaa alipendwa zaidi.Na mimi nsaema hivi, "Nipunguze matiti yangu...nipunguze urithi kutoka kwa bibi zangu! Mnawazimu nini! "
Matiti makubwa oyeeeeeeee!!!!
Mnaweza kusoma habari zaidi za Dada Sherri Shepherd HAPA:

