Wanajeshi wa Marekeni wamevamia mpaka wa Syria leo! Waliingia kupitia Iraq. WaSyria wanasema kuwa watu tisa walikufa wote raia wa kawaida. Marekani wanasema wlaimkuwa wanamtafuta gaidi fulani.
Hivi huyo Bush ana nini, anadhani akianza kuvamia nchi za watu atapendwa! Katika marais wote wa Marekani huyo George W. Bush ndo hapendwi! Ameharibu nchi!
Poleni watu wa Syria.
Kwa habari zaidi someni:
http://afp.google.com/article/ALeqM5idcYqma-8uXPWUzIwI5oujhh03gg
http://www.dailystar.com.lb/article.asp?edition_id=10&categ_id=2&article_id=97164
http://news.xinhuanet.com/english/2008-10/28/content_10262976.htm
Showing posts with label Syria. Show all posts
Showing posts with label Syria. Show all posts
Monday, October 27, 2008
Subscribe to:
Posts (Atom)

