Showing posts with label Uzazi. Show all posts
Showing posts with label Uzazi. Show all posts

Thursday, April 12, 2012

Baba Lulu Aongea na Waandishi wa Habari

KWA HISANI YA BLOGU YA JAMII:

Mzee Michael Edward Kimemeta (picha na Dixon Busagaga)

Imeandikwa n Dixon Busagaga  - Globu ya Jamii Moshi


Baba mzazi wa Muigizaji wa kike wa filami nchini maarufu kama Lulu, ambaye anahusishwa na kifo cha marehemu Steven Charles Kanumba, ameibuka na kueleza kushtushwa sana na taarifa za kifo hicho pamoja na habari kuwa bintiye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji huyo nguli na kuwa anahusika na kifo chake.

 Baba Lulu, ambaye alijitambulisha kwa jina la Michael Edward Kimemeta(49) mzaliwa wa Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro, kaiambia Globu ya Jamii leo huko Moshi kuwa alimtambua Steven Kanumba kama mwalimu wa mtoto wake Lulu,lakini hakuamini masikio yake baada ya kupata taarifa za kifo hicho, huku bintiye, anayedaiwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na marehemu, anahusika.


Lulu alifikishwa mahakamani jana April 11, 2012 akikabiriwa na mashtaka ya mauaji ya Marehemu Steven Kanumba, ikiwa ni siku nne baada ya kifo cha msanii huyo. Alisema kuwa Elizabeth ama Lulu alizaliwa tarehe April 17,1995 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, na kwamba alimaliza elimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Midway mwaka jana na kamba hivi sasa ana umri wa miaka 17.

Bw Kimemeta alisema kuwa ni vyema polisi kuwa makini katika uchunguzi wao kwa kuzingatia kuwa tukio hilo limejenga chuki na uhasama baina ya Lulu na ndugu, jamaa, marafiki na wapenzi wa marehemu Steven Kanumba. Alisema kuwa kilichomshtusha zaidi ni taarifa za polisi kusema kuwa kulitokea ugomvi kati ya Marehemu Steve Kanumba na Lulu,huku ikitajwa kuwa walikuwa wapenzi.

“Hatukutegemea kama Marehemu Kanumba angeweza kuwa na mahusiano y kimapenzi na binti yetu; kwanza ndiye tuliyekuwa tukimtegemea kwa kiasi kikubwa katika kuendeleza na kukikuza kipaji alichokuwa nacho Elizabeth”, alisema baba mtu. “Ninaomba Wanasheria na wanaharakati wa haki za kibinadamu kuingilia suala hili na kusaidia katika kupatikana kwa haki dhidi ya shtaka la mauaji linalomkabili binti yangu Elizabeth na pia naomba swala hili lisichukuliwe kishabiki ama kwa hisia bali haki ichukue mkondo wake”alisema.

Kanumba na Lulu mwaka jana.  Picha kwa hisani ya  Mpeli Jr Ngonywike
 Alisisitiza kuwa jamii inatakiwa kutambua mazingira ya tukio hilo,ambapo chanzo kinasemekana ni ugomvi uliopelekea tafrani kwa Lulu kutuhumiwa kumsukuma Marehemu Kanumba kwa kile kinachodaiwa kuwa ulikuwa wivu wa kimapepenzi na haiyumkini hakukusidua kumuua hivyo yeye anashangaa bintiye kuhusishwa moja kwa moja na mauaji.

“Ushiriki wa mwanangu kuhusu mambo ya sanaa nilikwishapata wasiwasi na mama yake mzazi alikuwa akiwasiliana na Marehemu Kanumba enzi za uihai wake ambaye alikuwa anamhakikishia usalama wa Lulu na kusema kuwa ataendele kubaki kama mwalimu…..lakini leo nasikia alikuwa ni mpenzi - nilishtushwa” alisema Kimemeta.

Baba Lulu pia ameelezea kusikitishwa kwake kwa kushindwa kuhudhuria mazishi marehemu Steven Kanumba kuhofia usalama wake, na kusema mazingira yatakaporuhusu hata sita kufika nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba na kutoa pole. Bw Kimemeta amesema kuwa anaungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia ya Marehemu Steven Kanumba na kutoa mkono wa pole kwa msiba huo mkubwa ambao haukutarajiwa.Kasema kuwa Kanumba alikuwa bado ni kijana mdogo aliyeonyesha umahiri kwenye sanaa na kwamba amecha pengo kwa familia yake na Tanzania kwa ujumla.

Lulu na Mama yake Mzazi, Bi Lucrecia Kalugila

Tuesday, October 04, 2011

Uzazi wa Majira Wasambaza UKIMWI Afrika!


Duh! Mbona hii habari inatisha. Eti wanawake waathirika wa UKIMWI wanaotumia zile sindano za uzazi wa majira wanaweza kusambaza virusi vya UKIMWI kwa wanaume wao. Utafiti unaonyesha kuwa kuna hatari zaidi ya wao kuambukiza kuliko wasiotumia!  Pia wanasema kuna vidonge vya uzazi wa majira ambayo unaongeza uwezo wa mwanamke mwathirka kumwambukiza mwanaume.

Lakini pia wanasema kuwa mwanamke akitumia uzazi wa majira na si mwathirika wa UKIMWI, basi ni rahisi yeye kuambukizwa virusi na mwanaume aliyeathirika! 

Ajabu ni uzazi wa majira ambayo inatumika Afrika tu!  Bado hamjaamini kuwa UKIMWI ulitengenewa maalum katika maabara ya wazungu ili kumaliza waafrika?

Mungu Atunusuru!

***************************************************************************

KUTOKA THE GUARDIAN UK.

HIV could if Birth Control Injections Increase, Warn Scientists

Researchers call for new guidelines for women using family planning services in Aids-hit areas

Research shows that women who use hormonal contraceptives in Aids hit parts of the developing world may double their risk of contracting HIV and passing it to their male partner.
Campaigns to increase the number of women opting for long-lasting contraceptive injections in Aids-hit parts of the developing world could be helping to spread the epidemic, scientists are warning.

New research shows that women who use hormonal contraceptives may double their risk of contracting HIV and of passing it to their male partner, throwing up a new dilemma for global development.

The authors of the large-scale study, published in the journal Lancet Infectious Diseases, call for urgent guidance to be drawn up andgiven to women using family planning services in HIV-endemic areas. The study showed particularly that the risk of HIV transmission was raised by the long-lasting injections that are most widely used and most popular in the sub-Saharan regions worst hit by the Aids epidemic.

The results present a significant problem for global health and development. Unwanted pregnancy is a threat to a woman's life and can lead to greater poverty and deprivation for her family. The more children she has, the harder it will be to feed and educate them.

While family planning is still resisted in parts of the developing world, campaigns to promote injectable contraception have met with some success. Many women have sought out the injections that last for months and that they can sometimes get without their husband's knowledge if he refuses permission.

But the study of 3,800 couples shows that there is a risk which has previously been suspected but unconfirmed. The risk was present for those who took the pill too, but it was not statistically significant because most women in the study had opted for injections.

"These findings have important implications for family planning and HIV-1 prevention programmes, especially in settings with high HIV-1 prevalence", said Jared Baeten from the University of Washington, Seattle, one of the study's authors.

"Recommendations regarding contraceptive use, particularly emphasising the importance of dual protection with condoms and the use of non-hormonal and low-dose hormonal methods for women with or at risk for HIV-1, are urgently needed," said lead study author Renee Heffron, also from the University of Washington.

More than 140 million women worldwide use some form of hormonal contraception.

The study group comprised 3,790 couples where one partner had HIV (usually the woman) although the other did not. They were drawn from two existing studies of HIV incidence in seven African countries – Botswana, Kenya, Rwanda, South Africa, Tanzania, Uganda and Zimbabwe.

The researchers found that women who did not have HIV were twice as likely to be infected by their partner if they were using hormonal contraception. Those who had HIV themselves were twice as likely to give it to their partner. Tests showed that women with HIV using injectable contraception had raised concentrations of virus inside the cervix. Researchers are unclear why and a larger study specifically designed to look at this issue should be carried out, they say.

Meanwhile women should be told there may be an increased risk of HIV infection if they use hormonal contraception and should be counselled that condoms will give them dual protection.

In a comment published by the journal, Charles Morrison from Clinical Sciences, Durham, USA, said: "Active promotion of DMPA [injectable contraception] in areas with high HIV incidence could be contributing to the HIV epidemic in sub-Saharan Africa, which would be tragic. Conversely, limiting one of the most highly used effective methods of contraception in sub-Saharan Africa would probably contribute to increased maternal mortality and morbidity and more low birth weight babies and orphans—an equally tragic result. The time to provide a more definitive answer to this critical public health question is now; the donor community should support a randomised trial of hormonal contraception and HIV acquisition."

Wednesday, May 27, 2009

Matatizo ya Uzazi Tanzania

Hii article imenigusa. Nina ndugu na wamrafiki waliokufa Tanzania kwa matatizo ya uzazi. Wengine walikufa kwa uzembe wa waliokuwa wanawahudumia, wengine eti kwa kukosa pochi ya kuwalipa. Na wanawake wenzangu waliopitia uzazi mnaelewa maswala ya uchungu, morning sickness, na matatizo mengine. Karibuni mtoe maoni yenu juu ya hii suala.

*****************************************


Where Life’s Start Is a Deadly Risk


By DENISE GRADY

BEREGA, Tanzania — The young woman had already been in labor for two days by the time she reached the hospital here. Now two lives were at risk, and there was no choice but to operate and take the baby right away.

It was just before dawn, and the operating room, powered by a rumbling generator, was the only spot of light in this village of mud huts and maize fields. A mask with a frayed cord was fastened over the woman’s face. Moments later the cloying smell of ether filled the room, and then Emmanuel Makanza picked up his instruments and made the first cut for a Caesarean section.
Mr. Makanza is not a doctor, a fact that illustrates both the desperation and the creativity of Tanzanians fighting to reduce the number of deaths and injuries among pregnant women and infants.
Pregnancy and childbirth kill more than 536,000 women a year, more than half of them in Africa, according to the World Health Organization.
Most of the deaths are preventable, with basic obstetrical care. Tanzania, with roughly 13,000 deaths annually, has neither the best nor the worst record in Africa. Although it is politically stable, it is also one of the world’s poorest countries, suffering from almost every problem that contributes to high maternal death rates — shortages of doctors, nurses, drugs, equipment, roads and transportation.
There is no single solution for a problem with so many facets, and hospital officials in Berega are trying many things at once. The 120-bed hospital here — a typical rural hospital in a largely rural nation — is a case study in the efforts being made around Africa to reduce deaths in childbirth.
One stopgap measure has been to train assistant medical officers like Mr. Makanza, whose basic schooling is similar to that of physicians’ assistants in the United States, to perform Caesareans and certain other operations. Tanzania is also struggling to train more assistants and midwives, build more clinics and nursing schools, provide housing to attract doctors and nurses to rural areas and provide places for pregnant women to stay near hospitals so that they can make it to the labor ward on time.
But there is a shortage of Emmanuel Makanzas, too. As he began to operate, he said he should have had another pair of skilled hands to assist him. But, he said, “we are few.”
He made a quick, vertical cut, working down from just below the navel, through one layer at a time: skin, fat, muscle, the peritoneal membrane. Within three or four minutes he had reached the uterus, sliced it open and wrestled out a limp, silent baby boy exhausted by the prolonged labor and knocked out by ether. It took a nurse 5 to 10 minutes of vigorous resuscitation to get him breathing normally and crying.
There are many nights like this at the hospital here, 6 miles from the nearest paved road and 25 miles from the last electric pole. It is not uncommon for a woman in labor to arrive after a daylong, bone-rattling ride on the back of a bicycle or motorcycle, sometimes with the arm or leg of her unborn child already emerging from her body.
Some arrive too late. In October, a mother who had been in labor for two days died of infection. In November and December, two bled to death. Doctors say they think that more deaths probably occur outside the hospital among the many women who try to give birth at home.
A few minutes’ walk from the hospital is an orphanage that sums up the realities here: it is home to 20 children, all under 3, nearly all of whose mothers died giving birth to them.
“You can never get used to maternal deaths,” said Dr. Siriel Nanzia Massawe, an obstetrician and the director of postgraduate studies at Muhimbili University of Health and Allied Sciences in Dar es Salaam, the country’s largest city. “One minute she’s talking with her husband, then she is bleeding and then she is gone. She’s gone, very young. You cannot sleep for one week. That face will always come back to you. Too many die, too young. But the people in power, they have not seen it. We need to make them aware.”
Over the course of several days at Berega, the difficulties became clear. At times, Mr. Makanza performed one Caesarean after another, sometimes in the middle of the night. One mother was only 15. Another had already had two Caesareans, adding to the risk of this operation or any future pregnancies, but she declined Mr. Makanza’s recommendation to be sterilized.
Others had hoped to speed their labor by taking herbal medicine but were suffering dangerously strong contractions. Hospital staff members struggled to keep up with the operations, handwashing bloodstained gauze and surgical drapes in basins and mopping blood from the floor between cases.
Two women had severe problems from high blood pressure. One came to the hospital after giving birth at home and having a seizure. Another delivered a full-term infant who had died in her womb at least a week before; her only other pregnancy had ended the same way.
A mother in the maternity ward had arrived in labor with twins, one already dead. A Caesarean had saved the second.
The Global Perspective
Women in Africa have some of the world’s highest death rates in pregnancy and during childbirth. For each woman who dies, 20 others suffer from serious complications, according to the W.H.O. “Maternal deaths have remained stubbornly intractable” for two decades, Unicef reported last year. In 2000, the United Nations set a goal to reduce the deaths by 75 percent by 2015. It is a goal that few poor countries are expected to reach.
“Why don’t we have a global fund for maternal health, like the one for TB, malaria and AIDS?” Dr. Massawe asked.
Tanzania has reduced its death rate for young children, but not maternal mortality. The Ministry of Health says its maternal death rate is 578 per 100,000 births, but the World Health Organization puts the figure at 950 per 100,000. By contrast, the health organization estimates the rate in Ireland, the world’s lowest, to be 1 per 100,000.
The women who die are usually young and healthy, and their deaths needless. The five leading causes are bleeding, infection, high blood pressure, prolonged labor and botched abortions. Maternal deaths from such causes were largely eliminated nearly a century ago in developed countries. In poor countries a mother’s death leaves her newborn at great risk of dying as well.
Experts say that what kills many women are “the three delays” — the woman’s delay in deciding to go to the hospital, the time she loses traveling there and the hospital’s delay in starting treatment once she arrives. Only about 15 percent of births have dangerous complications, but they are almost impossible to predict.
A Medical Emergency
A case in the Tanzanian city of Moshi late last year reveals how suddenly a seemingly normal labor can turn into an emergency in which every second counts. Hawa Khalidi, 36, who had five normal births, gave birth to her sixth child a few hours before dawn on Nov. 19 at a health center staffed only by nurses in one of the poorer sections of the city.
Then she began to hemorrhage, and by daybreak she was dead.
An autopsy found that Mrs. Khalidi bled to death because the nurse who delivered her baby failed to perform one basic task, essential to prevent deadly bleeding: removing the placenta after she gave birth.
Normally, pulling on the umbilical cord will extract the placenta. But the autopsy revealed that the cord broke off. The nurse apparently did not know how to reach into the womb to remove the placenta. She sent Mrs. Khalidi to a hospital, but by then Mrs. Khalidi had lost so much blood that doctors could not save her.
In an interview, Mrs. Khalidi’s husband said nurses at the clinic had scolded her because she was too poor to bring her own “delivery kit” containing gloves, clamps and other supplies. Some maternity wards are so crowded that women sleep two or three to a bed, or lie on the floor, along with their newborns. Although the government has promised to build more clinics and to put one within three miles of every village, it cannot even fully staff the clinics it already has. Health workers — overworked, underpaid and sometimes poorly trained — often become demoralized and resigned to the high death rates.
Women lack education and information about birth control, and some become pregnant too young to give birth safely. Husbands and in-laws may decide where a woman gives birth and insist that she stay at home to save money. Malnutrition, stunted growth, malaria and other infections, anemia and closely spaced pregnancies all add to the risks.
In rural areas, many women use traditional birth attendants instead of going to the hospital. The attendants usually have no formal training in medicine or midwifery. Many doctors blame them for high rates of maternal death and complications, saying they let labor go on for too long, cannot treat complications and fail to recognize emergencies that demand hospital care. But many women are loyal to them. For one thing, the price is right. Around Berega, they charge about $2 per birth. A normal birth at the hospital costs about $6, an emergency Caesarean $15.
Dr. Jeffrey Wilkinson, an obstetrician from Duke University who is working at the Kilimanjaro Christian Medical Center in Moshi, pointed out that other African countries, like Niger, had even higher maternal death rates. Despite the many obstacles in Tanzania, “there is hope here,” he said.
A Hospital’s Shortages
Even though it serves an area with about 200,000 people, the hospital in Berega has no obstetrician or pediatrician. It has only one fully trained doctor, Dr. Paschal Mdoe, 31, who became the medical director in August, fresh out of medical school.
Like most hospitals in Tanzania, the one in Berega tries to compensate for the doctor shortage by relying on assistant medical officers like Mr. Makanza to perform many Caesareans and a few other relatively simple operations like hernia repairs. Although such assistants eventually become quite adept in such operations, most other countries do not recognize their credentials and so do not try to lure them away, a big plus for Tanzania, which loses doctors and nurses to Botswana and other countries that pay more.
Periodically, visiting surgeons repair fistulas, a severe childbirth injury that causes incontinence in the mother. Other outside experts like Dr. Wilkinson have also taught staff members how to resuscitate newborns and treat obstetrical emergencies like hemorrhages and severe high blood pressure.
To persuade more women to give birth at the hospital instead of at home, the hospital is sending health workers with that message to marketplaces, churches, village elders and religious leaders.
In addition, the hospital is creating a “maternity waiting home” so that pregnant women who live far from the hospital can travel to Berega before labor starts and have a place to stay until it is time to give birth. Officials are also negotiating with the government to cover all fees for pregnant women and children, and to acquire an ambulance. (The hospital, a mission institution supported partly by the Anglican Church and the government, does not receive enough money to cover its costs, so it charges fees to make up the difference.)
But there is a long way to go. Only 20 percent of women in the area give birth at the hospital, and many do so only when they need Caesareans. Many women say they simply cannot afford the hospital. More than 50 percent stay home to give birth, and the rest go to local clinics that cannot handle emergencies or perform Caesareans.
“We lost four or five babies this week,” the Rev. Isaac Y. Mgego, an Anglican priest and the hospital’s director, said in an interview in January. “Our doctors have to play with two bad things, to save the mother or save the child.”
It is not easy to lure doctors and nurses to Berega, where most people live in mud huts with no electricity, flush toilets or running water. Malaria is common.
To attract staff members, the hospital provides concrete houses with access to a pump. The church “tops up” government salaries for doctors and nurses, and Dr. Mdoe successfully lobbied church officials to give his staff a raise. A nursing school is being built, with the hope that it will draw local students who will want to remain in Berega.
The hospital has four nursing officers, 10 midwives and 2 other workers known as clinical officers, a total of 16.
“We used to have 34,” Mr. Mgego said. “People leave. We are struggling to retain them. They don’t want to live in villages. Some go without saying goodbye. Those who are committed, they are working tirelessly.”
It costs about $200,000 a year to run Berega Hospital, Mr. Mgego said. He said he hoped the hospital would find ways to prevent the serious problems that required mercy missions and visiting surgeons from groups like Amref, the African Medical and Research Foundation, also known as the flying doctors.
“Coming here to cure people is good, but what can we do to prevent this?” Mr. Mgego asked. “So that one day we can say, flying doctors, you can come, but we have only one patient, or nobody, around here.”



http://www.nytimes.com/2009/05/24/health/24birth.html?_r=1&scp=2&sq=tANZANIA&st=cse

Saturday, August 25, 2007

Idadi ya wanawake wanaokufa kwenye Uzazi US waongezeka!




Nimeshangaa sana kusikia kuwa idadi ya wanawake wanokufa katika uzazi Marekani umeongezeka. Maana Marekani ni nchi iliyoendelea na hospitali za hapa zina vifaa vya kisasa. Mtoto akiwa bado tumbo hata hajaumbika vizuri unaweza kumwona na kujua afya yake.

Au, vifo vinaogezeka sababu ya kampuni za bima kufupisha muda wazazi wanaokaa hospitalini?
Hata wanaozaa kwa kupasuliwa tumbo (C-section) wanakufa!

Someni habari hizi:

************************************************

Experts: U.S. Childbirth Deaths on Rise

ATLANTA -
U.S. women are dying from childbirth at the highest rate in decades, new government figures show. Though the risk of death is very small, experts believe increasing maternal obesity and a jump in Caesarean sections are partly to blame.

Some numbers crunchers note that a change in how such deaths are reported also may be a factor.

"Those of us who look at this a lot say it's probably a little bit of both," said Dr. Jeffrey King, an obstetrician who led a recent New York state review of maternal deaths.
The U.S. maternal mortality rate rose to 13 deaths per 100,000 live births in 2004, according to statistics released this week by the National Center for Health Statistics.
The rate was 12 per 100,000 live births in 2003 - the first time the maternal death rate rose above 10 since 1977.

To be sure, death from childbirth remains fairly rare in the United States. The death of infants is much more common - the nation's infant mortality rate was 679 per 100,000 live births in 2004.
Maternal deaths were a much more common tragedy long ago. Nearly one in every 100 live births resulted in a mother's death as recently as 90 years ago.

But the fact that maternal deaths are rising at all these days is shocking, said Tim Davis, a Virginia man whose wife Elizabeth died after childbirth in 2000.

"The hardest thing to understand is how in this day and age, in a modern hospital with doctors and nurses, that somebody can just die like that," he said.

Some health statisticians note the total number of maternal deaths - still fewer than 600 each year - is small. It's so small that 50 to 100 extra deaths could raise the rate, said Donna Hoyert, a health scientist with the National Center for Health Statistics. The rate is the number of deaths per 100,000 live births.

In 2003, there was a change in death certificate questions in the nation's most populous state, California, as well as Montana and Idaho. That may have resulted in more deaths being linked to childbirth - enough push up the 2003 rate, Hoyert said.

Some researchers point to the rising C-section rate, now 29 percent of all births - far higher than what public health experts say is appropriate. Like other surgeries, Caesareans come with risks related to anesthesia, infections and blood clots.

"There's an inherent risk to C-sections," said Dr. Elliott Main, who co-chairs a panel reviewing obstetrics care in California. "As you do thousands and thousands of them, there's going to be a price."

Excessive bleeding is one of the leading causes of pregnancy-related death, and women with several previous C-sections are at especially high risk, according to a review of maternal deaths in New York. Blood vessel blockages and infections are among the other leading causes.

Experts also say obesity may be a factor. Heavier women are more prone to diabetes and other complications, and they may have excess tissue and larger babies that make a vaginal delivery more problematic. That can lead to more C-sections. "It becomes this sort of snowball effect," said King, who is now medical director of maternal-fetal medicine at Riverside Methodist Hospital in Columbus, Ohio.

The age of mothers could be a factor, too. More women are giving birth in their late 30s and 40s, when complications risks are greater.

Other characteristics of the maternal mortality rate include:

_Race: Studies have found that the maternal death rate in black women is at least three times greater than is it is for whites. Black women are more susceptible to complications like high blood pressure and are more likely to get inadequate prenatal care.

_Quality of care: Three different studies indicate at least 40 percent of maternal deaths could have been prevented.

Sometimes, there is no clear explanation for a woman's death.

Valerie Scythes, a 35-year-old elementary schoolteacher, died in March at a hospital in New Jersey - the state with the highest Caesarean section rate. She had had a C-section, as did another teacher at the same school who died after giving birth at the same hospital two weeks later.

However, Scythes died of a blocked blood vessel and the other woman died from bleeding, said John Baldante, a Philadelphia attorney investigating the death for Scythes' family.
"I'm not sure there was any connection between the two deaths," Baldante said.

Also mysterious was the death of Tim Davis' 37-year-old wife, Elizabeth, who died a day after a vaginal delivery at a Danville, Va., hospital in September 2000.

She had a heart attack after a massive blood loss, Davis said. It's not clearly known what caused the heavy bleeding. There was no autopsy, he said, a decision he now regrets.
Two previous births had gone well.

"Nothing led us to believe anything was wrong with this pregnancy. She was like a picture of health," he continued, noting she had been a YMCA fitness instructor.

A lawsuit against the hospital ended in a settlement. Davis also sued the obstetrician, but a jury ruled in the doctor's favor.

The child born that day, Ethan, starts second grade next week. "He's a happy kid," Davis said.

"He's just never had a mom."
National Center for Health Statistics 2004 deaths report: