Showing posts with label Venus Williams. Show all posts
Showing posts with label Venus Williams. Show all posts

Monday, May 24, 2010

Eti Venus Williams Alivaa Vibaya?



Wadau, huko kwenye French Open, bingwa wa mchezo wa Tennis, Venus Williams aliwatoa wazungu jasho. Wanalamika kuwa nguo yake, ilimfanya Venus aonekane kama yuko uchi. Mbona wazungu hawasemwi wakivaa vibaya kwenye michezo. Wengine wako uchi kabisa! Kwa mila na desturi ya tennis ni lazima uvae nguo nyeupe. Venus kavaa nyeusi.
***********************************************
BY MARK W. SMITHFREE PRESS WEB EDITOR

American tennis star Venus Williams is making some headlines this morning after donning a revealing outfit during her Sunday straight-set rout of Patty Schnyder at the French Open.
Williams, ranked No. 2 at the Paris tourney behind kid sister Serena, wore a black lace corset-inspired outfit with a flesh-toned undergarment that gave the appearance that the outfit was more revealing than it actually was.

Williams told the media that the outfit was all "about illusion,"
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:

Saturday, July 05, 2008

Venus Williams ashinda Wimbledon



Mcheza tennis maarufu, Venus Williams, ameshinda taji la Wimbledon tena kwa kumtwanga mdogo wake Serena Williams.

Ni mara ya tatu kwa ndugu hao kugombania taji maarufu ya Wimbledon wakiwa katika top two (washindani wakuu). Na ni mara ya tano kwa Venus kushinda taji la Wimbledon. Serena ameshinda taji hiyo mara mbili.

Tulivyokuwa tunatazama mechi ilielekea kuwa Serena atashinda, lakini Venus alirudi kwa nguvu na kumshinda mdogo.