Saturday, December 31, 2005

Heri ya Mwaka Mpya!

Wapenzi wasomaji, nawatakia heri ya mwaka mpya. Naomba mwaka 2006 iwe wa amani na upendo na majalio tele kwa wote.

HERI YA MWAKA MPYA!

5 comments:

Mija Shija Sayi said...

Asante...na wewe pia.

Ndesanjo Macha said...

Asante kwa salamu za mwaka mpya wa Kirumi.

Jeff Msangi said...

Kila la kheri pia.

mwandani said...

Na wewe pia

Innocent Kasyate said...

Bibie makala zako zimejaa ukweli na uwazi.Ningependa utuandikie zaidi juu ya vijana wa kiafrika kupenda zaidi uzungu na umagharibi.
Hapa ndio hivyo, Uganda watu wanataka kuiga wazungu kwa kila kitu.Hili walionaje?