Tuesday, March 27, 2007

Tendo la Ndoa




Nina swali. Ile tendo la kukutana mwanume na mwanamke na kufanya mapenzi ina majina mbalimbali. Wengine wanasema ‘ngono’, wengine’ kut-mbana’, wengine ‘majambo’, wengine ‘kufanya’, ‘vituuz’ na majina mengi. Lakini jina nacho shangaa ni hiyo, ‘tendo la ndoa’. Ndo jina la heshima au sijui ndo kuweza kusema bila aibu. Au ndio wamisionari walituletea hiyo jina.

Lakini watu wanaita ‘tendo la ndoa’ wakati tunajua kuwa watu wengi wanafanya kabla hawajafunga ndoa. Na watu ambao hawajafunga ndoa, wanafanya. Mungu sijui aliumbaje binadamu lakini kuvumulia mpaka kufunga ndoa si rahisi, katika jamii zote za dunia. Wanataka wasichana watunze bikra zao (lakini hiyo ni topiki nyingine). Pia watu wanafanya na watu ambao si wake, waume zao, sasa ndo ni tendo la ndoa?

Au wanaita tendo la ndoa kusudi watu wajisikie vibaya wakifanya bila ndoa? Au wanataka walazimaishe wafunge ndoa? Ndoa ni hatua kubwa katika maisha ya bindamu. Na kwa kweli ukifunga ndoa ndo unafanya mapenzi na mwenzako kwa halali. Lakini wengine wanatembea nje ya ndoa zao.

Je huko gesti au hotelini watu wanaombwa cheti cha ndo kabla ya kupewa chumba? Miili ya watu inacheka, eti hatuwezi kufanya mapenzi mpaka tufunge ndoa. Na nadhani ni vigumu sana wanaume waweze kuvumulia mpaka wafunge ndoa, maana mwili unafika ile peak ya ‘maturity’ kabla hawajafika miaka 19. Hebu someni vitabu vya biologia.

Uwongo mbaya, watu wataendelea kufanya bila ndoa. Ile ume ya mwanaume ikisimama akili anakosa mpaka anapata kitu cha kumpooza! Na kuna wanawake nao kuna kipindi fulani wanashindwa kuvumulia lazima wapate kitu tena hali hiyo inatokea bila kufunga ndoa!

Nafungua mjadala, karibuni mtoe maoni yenu.

15 comments:

Anonymous said...

Mie nafikiri "tendo la ndoa" linatumika kwa maana mbili
1) huruhusiwi kufanya (uwe mwanamke au mwanaume) mpaka kuoa au kuolewa. Kwa maneno mengine mpaka uwe mtu mzima ambaye unaweza kuyakabili yatakayotokea baada ya hilo tendo (mfano watoto).
2) pia ukitumia maneno "tendo la ndoa" ni tafsida au diplomasia badala ya kutumia neno "kutom- ba/mbana/mbwa".

Au wengine mwasemaje?

Anonymous said...

Asante sana Chemi kwa kuongelea suala hili nyeti. kuna mtu mmoja nilimsikia akisema, 'it is not easy to talk about sex, but it is easier to to do it!'

Mimi na mke wangu huwa tunaita 'kufanya'.

Neno 'tendo la ndoa' linaficha makali hasa panapokuwa na watu wengi wa jinsia tofauti na umri/rika tofauti au ktk media - gazeti au TV wengine wanaita kujamiiana.

Ktk mila zetu hapo zamani hilo tendo lilikuwa, aghalabu, linafanyika baada ya ndoa na ndio asili yake hilo jina, ingawa siku hizi hilo tendo hufanywa mapema zaidi (LAKINI jina limebaki lile lile; kama vile zamani daladala ilikuwa ni sh.5/= lakini siku hizi nauli ni sh.200/= au zaidi (lakini jina limebakia lilelile -daladala!!))

festo said...

huku morogoro kwa busara kabisa tunasema ni kupeana unyumba kwa wale rasmi wanandoa(kama yale ya bwana aliyemcharanga mapanga mkewe kisa eti kwa kosa la kumnyima unyumba) ,mahawara ndio utasema kukazana,kutembea,kujirusha n.k.
wengine mwasemaje?

Anonymous said...

Chemi nakupongeza kwa kukaribisha maoni ktk mada ambazo zinaonekana ni vigumu kuziongelea afrika, na kwa kweli, mahusiano kati ya wanawake na wanaume yanaboreshwa ktk mazingira kama haya unayotujengea.

Kuna watu (kwa maoni yangu) ambao visa fulani vinawagusa na wanatafakari ubaya wa matendo waliyoyafanya na bila shaka watajirekebisha na kuwa raia bora ktk jamii!

Anonymous said...

Watoa maoni wote wana points ndoo hivyo inategemea mtu uko wapi uko na akina nani ndoo utatumia hilo neno kutokana na hali halisi, mfano ukiwa na mkeo hata useme "njoo" tu anaelewa, hawara sema tu "nigee" ukiwa na wahuni utasema "achane mambo yenu ya kutombana bila ndomu" lakini ukipeleka kesi kwa wakwe utasema "mwanenu hataki "tendo la ndoa" soo it all depends dada chem
au sio? sorry da Chem umeolewa?

matusi said...

nashangaa mnahangaika nini wakati kwenye blog hii mtu unaweza ukaona jinsi gani hilo tendo linavyo fanyika

hebu mie

http://videozamatusi.blogspot.com/

Anonymous said...

aisee wewe MATUSI, hizo video katika blog yako zimenirusha roho, aisee asante, nilikuwa natafuta sana vitu nadra kama hivi

MICHUZI BLOG said...

siku moja nilihudhuria harusi ambayo maharusi walifunga ndo ya bomani, ila waliomba mwakilishi wa dc aje kwenye ukumbi awafungishe ndoa.

sehemu ya kufungia ndoa ilikuwa ndani na tafrija bustanini. nikamsikia mc akiwaita maharusi na ndugu wa karibu waingie ndani ili kushuhudia 'tendo la ndoa' na kuniacha mdomo wazi. naomba msaada kwani hadi hapo nilikuwa nikidhania tendo la ndoa ni kunanihiiaana...

Chemi Che-Mponda said...

Aisei, Michuzi hiyo kali sana! Loh, imekuwa South Africa, maana waZulu wana mtindo wanaarusi wanafanya mbele za watu chini ya ngozi ya simba ili kumaliza kufunga pingu zao! DUH!

Anonymous said...

Chemi, huwa nafurahia sana postings zako. Lakini hii imechuja kwa sababu hukuisoma kuisahihisha (proof read)

Anonymous said...

Inategemea unayefanya nae hilo tendo na mazingira. Kama ni mke wa ndoa na mnafanya katika hali tu ya kutimiza wajibu wa ndoa (yaani mmoja wenu hajisikii ila inabidi tu amtimizie mwenzie), hilo ni tendo la ndoa. Kama ni mke wa ndoa na mnafanya katika hali ya mapenzi na kuridhiana nyote, basi huo ni unyumba. Kama ni hawara au mpenzi mwingine (sharti muwe mnapendana) basi tendo hapo ni kufanya mapenzi. Kama ni mwanamke mwingine ambaye kinachowakutanisha ni nyege tu basi mnatombana (kama wote mna nyege) au unamtomba(kama ni mmoja wenu tu ndiye mwenye nyege). Kama ni malaya tu umeokota njiani huko basi unamtia (lengo ni kukojoa tu basi, hakuna kumfurahisha mwanamke hapo). Kama mwanamke ndiye aliyezidiwa na nyege akatafuta mwanamume wa kuzimaliza, basi huyo mwanamume anakuwa anamkaza huyo mwanamke (hii inatokana na nguvu anayohitaji kutumia huyo mwanamme kutosheleza hamu ya huyo mwanamke manake mara nyingi utakuta huyo bwana hata hampendi, anafanya tu kama ajira). Katika yote niliyotaja juu, wahusika hufanya tendo hilo kwa hiari. Kama tendo limefanyika bila hiari huo ni ubakaji. Na ngono ndiyo mjumuisho wa yote watu wanayofanya au kufanyiana wakitumia viungo vinavyodhaniwa kuleta msisimko na raha ya kimwili vinapokutanishwa. Viungo vitumikavyo katika ngono huitwa viungo vya ngono au "sex organs" (tofautisha na viungo vya uzazi au "reproductive organs" ambavyo viko vya kiume na vya kike). Viungo vya ngono vinahusisha viungo vya uzazi vya nje (kuma, kisimi, mboo na makende), kinywa chote (ulimi, mdomo, meno), viganja, vidole(na kucha zake), matiti, chuchu, matako, mkundu, kitovu, masikio, mapaja nk. (Hapa dada Kemi napendekeza utuletee mada ya kujadili kuhusu neno "uchi", je ni vile viungo vya uzazi au ni viungo vya ngono?) Matumizi ya viungo hivi yamesababisha kuwepo na istilahi kama ngono uke (vaginal sex), ngono kinywa (oral sex), ngono mwaranda (anal sex), ngono simu (phone sex), ngono zembe (unprotected sex), ngono salama (safe sex), ngono toto (pedophilia au child sex), ngono penyezi (penetrative sex) na ngono isiyo penyezi (non-penetrative sex), ngono mwitu (wild sex), ngono nyevu (raw sex) n.k. Mchango wangu siku ya leo.

Anonymous said...

Kithuku mswahili, sikuwezi

Chemi Che-Mponda said...

kithuku, naona umeweka GLOSSARY ya ngono terms za kiswahili.

Anonymous said...

Hili tendo linapendwa sana ndio maana watu wakipewa nafasi ya kulizungumzia bila unyanyapaa hawajivungi. Hebu ona mchango huu hapa chini nimeunakili kutoka kwenye post ya mchangiaji anyejiita "kipotabo" kama alivyochangia kwenye ile habari ya Waziri aliyefumaniwa (blogspot hii ya Chemi).

kipotabo said...
Wewe Anon wa 9:30AM hapo juu huyo bwana Knuckles wala usimsifie sana, haju kutomba na kwanza ana upungufu wa nguvu za kiume ndio maana anahitaji wanawake zaidi ya mmoja kwa pamoja kwa sababu hawezi ku-maintain erection. Kazi ya huyo mwanamke wa pili ni kumfanyia vimbwanga fulanifulani ili mboo iendelee kusimama, vinginevyo inalala humohumo ndani kabla hajapiga bao! Na hiyo staili ya doggie ndio pekee anayoweza, hilo tumbo lililotuna kama kiroba cha mpunga (rumbesa) hamlioni? Hakuna msichana atakayestahimili tumbo kama hilo liwe juu yake, labda kama ni bingwa wa heavyweight wrestling! Na huyo jamaa hana uwezo wa kustahimili mwanamke awe juu yake, tumbo litamzuia kupumua. So the only option anayomudu ni doggie! Wanaume jamani muachage mipombe na mikuku na mi-junk food haya mavitambi yenu yanatuboa! Mume kama huyu utakuta hata mkewe nyumbani huwa hampi tena kwa sababu wote hawamudu tena tendo hilo, wote wamejaza mitumbo kama mapipa yale ya simtank, hata wakisogeleana vipi haifikii kunako! Na mkewe doggie style haiwezi, akijaribu kuinama tu tumbo linasogea kifuani na kumbana pumzi! Sasa hapo kwa kweli kazi ipo, wanaobaki kuweza kummudu huyo jamaa ni wasichana vipotabo (waliopinda kiakili, vinginevyo wangeona haya kumhudumia kwa pamoja!) Ndio maana sikushangaa kusikia mkewe amemsamehe kwa kitendo hicho, anajua ni miaka mingapi hawajaweza kulifaidi "tundi" kutokana na jinsi walivyonenepeana wote wawili (of course ni matokeo ya ulafi uliowezeshwa na pesa alizokuwa anaiba huko serikalini kutokana na wadhifa wake). Sasa ikabidi tu mama asamehe, afanyeje wakati wenyewe hawawezani? Masikini!
Ujumbe wangu kutokana na hii habari, pamoja na yote waliyochangia wengine, ni kwamba jitunzeni vema miili yenu, msijekosa mwana na maji ya moto. Kallaghabaho!

2:02 AM

Mikundu Matako Makalio Manundu said...

"Kuhusu tendo la ndoa" kuna msichana mmoja katika familia moja huko mwambao wa Kenya, alikuwa mapepe sana yaani hatulizani, mara boi=frend huyu mara yule, mara kakesha disko, mara kutwa haonekani nyumbani basi ilimradi huyu binti alikuwa ni mapepe sana. Kama ilivyo ada wazee wake kumuona hivyo wakawa hawana raha wakaona ni heri wamtafutie binti yao mume amuoe ili atulizane, katika ku tafutiwa mume ikawa suggested kuwa aolewe na kazin (cousin) wake (pwani ni mambo ya kawaida hayo). Kazin wake aliposhauriwa kwa hilo, akapinga sana lakini mwisho akaona afanye nini bora amsitiri ndugu yake, harusi ikafanyika na siku ya kuingia nyumbani (siku ya kwanza kukutana kimwili bwana na bibi harusi)mambo yakawa hivi: Baaada ya kumwingilia bi harusi na kumkuta kuwa ni bikra kwa mshangao Kazin akamwambia bi harusi wake "aah sikutegemea kukuta bikra, jinsi tulivyokuwa tunakuona ulivyo, nakushkuru sana kwa kukuta hivi" bi harusi akajibu "usinshukuru mimi shukuru huu mkundu wangu ndio uliofanya mpaka leo nikawa bikara" !!!
Mambo ya pwani hayo, anamaana siku zote alikuwa akifirwwa tuu, Jee na hilo tutaita tendo la nini?

Pitia http://mikundu.blogspot.com/ ukajionee vifiro.