Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Tuesday, July 14, 2009
Summer Hiyo!
Hapa tunafurahia Jaguar ya mwenzetu Dave wa Oscar Micheaux Family Theater katika mitaa ya Boston South End. Summer hiyo....kibanda wazi! Picha ya juu niko na Joe Banks ambaye anaigiza kama Steve Lucky katika mchezo The Harlem Renaissance Revisited. Chini, Dada Linda Henderson ambaye anaigiza kama Billie Holiday katika mchezo naye aliamua ku-pozi.
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
No comments:
Post a Comment