Friday, August 07, 2009

Shule ya Sekondari Tosamaganga 1974


Waadu, nimeona hii picha kwa kaka Mjengwa. Aliibandika mwaka 2007. Kama mnafahamu waliopo kwenye picha, tafadhali nitumie majina.

No comments: