Habari ya mida hii na kheri ya sikuku ya krimas *swahilitime* Ni mimi hapa Ebou Shary Napandisha mlingoti huu kutoka State Ya Washington DC. Na nawatakia Sikuku Njeema.
Napenda kuomba kitu kimoja kwako Kamanda. Tafadhali kama itawezekana. Kuizindua Blog yangu na kuipandisha kileleni in your Bloglist Watu wakaitambua Hili libeneke. Jina la Blog ni http://swahilivilla.blogspot.com
Bloh hii imeanzishwa mjini Washington Dc na inaendeleza kazi zake katika mji wa Maryland. Inatumia lugha ya kiswahili na kingereza ili kuhabarisha kuhusu maswala mbalimbali ya kijamii hasa katika ukanda wa Marekani mashariki na Afrika mashariki. Itakuwa inakuletea habari mbalimbali za kijamii, siasa, burudani,michezo nk. Nakaribisha maoni yenu. Wasiliana nasi kwa. Email:kijiko12@hotmail.com
Habari ndio hiyo kamanda, na unisomapo tafadhali usikose kuweka neno kwani kwani ndio chanzo chakuelewa hali halisi inayokubalika katika jamii yetu hii tuipendayo kwaujumla. shkran
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
2 comments:
Likewise.
Habari ya mida hii na kheri ya sikuku ya krimas
*swahilitime* Ni mimi hapa Ebou Shary Napandisha mlingoti huu kutoka State Ya Washington DC. Na nawatakia Sikuku Njeema.

Post a Comment