Wadau, hebu cheki hii Vazi la Taifa aliyovaa Miss Tanzania 2012, Winifrida Dominic, katika Mashindano ya Miss Universe. Samahani lakini sioni UTanzania!
Miss Bostwana 2012 |
Miss Ethiopia 2012 |
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Miss Bostwana 2012 |
Miss Ethiopia 2012 |
4 comments:
Nakubaliana na wewe Da Chemi. Kwanza Mtanzania hatembei na chupi tu. Bora wangemvalisha Khanga au Kitenge. Ona Eithiopia na nguo yao na Bostwana unaona kabisa Uswazi.
Ni aibu kuita hiyo kitu vazi la Taifa letu!
Why is Tanzania so OBSESSED with so-called BEAUTY CONTESTS these days? It's so SUPERFICIAL and degrading to women!
Hii kali, duuuh!
Post a Comment