Hizi picha zilitoka kwenye gazetii huko Ufaransa mwaka 1864. Ni wakati Speke alivyoenda kutafuta chanzo cha mto Nile. Picha zinapatikana: http://www.123rf.com/photo_15155982_old-illustration-of-ouzaramo-region-natives-tanzania-created-by-bayard-published-on-le-tour-du-monde.html
Wazaramo 1864 |
Picha imechorwa 1864. Wazungu waliwaita Ouzaramo.
Old illustration of Ouzaramo region natives, Tanzania. Created by Bayard, published on Le Tour du Monde, Paris, 1864
Wagogo 1864
Old illustration of Ougogo encampment during Captain Speke expedition towards Nile river source, Tanzania. Created by De Bar, published on Le Tour du Monde, Paris, 1864
Wanymwezi wakipika pombe 1864 |
1 comment:
upuuzi mtupu, wazaramo hawakuwahi kuwa na dreadlocks
Post a Comment