HIZI NDIO SIFA ZA KILA MKOA TANZANIA:
1. DAR - Utapeli
2. ARUSHA - Ustaarabu
3. MBEYA - Matukio
4. MWANZA - Fujo
5. TANGA - Mapenzi
6. MOROGORO - Starehe
7. DODOMA - Bahati
8. IRINGA - Elimu bora
9. RUVUMA - Pombe
10. RUKWA - Uchawi
11. TABORA - Mikosi
12. SHINYANGA - Njaa
13. SINGIDA - Upole
14. KAGERA - Misifa
15. LINDI - Waoga
16. KIGOMA - Ubishi
17. PWANI - Uvivu
18. MTWARA - Hasara
19. KILIMANJARO - Ubahili
20. MARA - Hasira
21. MANYARA - Utajiri
22. GEITA - Presha
23. SIMIYU - Maradhi
24. NJOMBE - Haraka
24. KATAVI - Aibu
25. Visiwani kote- uchezaji wa karata na bao
Haya mwenzangu watokea mkoa gani?
WaHadzabe wakicheza Ngoma |
4 comments:
Kwa Kilimanjaro wamekosea!
Bya Nzota.
Hahaha...Yanni Kilimanjaro, ni Ubahili, kwasababu ya wapare, mbona kuna sifa nyingine...toka kwa Wachaga, na siji huyo mchambuzi ametumia kigezo gani
Aliyetunga kapatia kweli!
Natokea Arusha
Post a Comment