
Tuzola ni kampuni ya waTanzania wanaoishi Marekani. Kama huna hela kamili ya kununua tiketi ya ndege unaweza kununua kwa kulipa kiasi awali, na baadaye ulipe hela iliyobaki (installments). Kama unakaa Marekani unaelewa vizuri mambo ya kulipa bili kwa installment.
No comments:
Post a Comment