Wadau, Kumbe Rais Fidel Castro wa Cuba ni Nabii. Mwaka 1973 alitabiri kuwa Marekani itazungumza na serikali ya komunisti Cuba wakipata Rais mweusi na Papa anatoka nchi za Marekani ya kusini. Ona Raisi wa Marekani ni mweusi, Papa anatoka Argentina! Sasa kuna Ubalozi wa Cuba Washington D.C. na US wanatuma Balozi Cuba! Duh! Vita Baridi imekweisha sasa.
Showing posts with label Cold War. Show all posts
Showing posts with label Cold War. Show all posts
Saturday, July 25, 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)


