Wazungu wamebuni michezo ya ajabu ya ngono. Wengine wanaenda kwa DOMINATRIX, kusudi watendewe.
Sasa kuna mchezo wa kuchukua kisu na kuitumia kuchora kwenye mwili wa mpenzi wako. Wakati huo mko kazini yaani 'juu/chini'!
Huko Ottawa, Canada kuna mzungu alimwomba mpenzi wake achore moyo kwenye kifua chake juu ya moyo wake. Sijui yule dada alikuwa amenogewa na utamu wa tendo mpaka kajisahau, kaishia kumtoboa kifua mpenzi wake na ilichoma moyo! Madaktari walidhani jamaa hatapona lakini ilikuwa si wakati wake na hajambo sasa.
Jamaa anasema bado anapenda mpenzi wake ingawa alimchoma kisu moyoni. Walikuwa mchezoni katika mapenzi! Pia walikuwa wamelewa!
Polisi walimfungulia mashitaka yule dada, na kapewa miaka mitatu 'Probation'Yaani hataenda jela kama hatatenda kosa lingine kwa miaka mitatu.
*****************************************************************************
Canadian pierces lover's heart in botched sex game
Fri May 16, 2008
OTTAWA (Reuters) - A Canadian man who asked his lover to carve a heart-shaped symbol on his chest during a rough sex game almost died when she accidentally pressed too hard and punctured his heart, a newspaper said on Thursday.
The Winnipeg Free Press said the 25-year-old woman had been sentenced to three years' probation after she pleaded guilty to assaulting the man in February 2007.
The 24-year-old man was initially given little chance of survival but made a full recovery and is backing the woman. Both had been drinking heavily and engaging in rough sex when he asked the woman to carve the symbol, the paper said.
Kwa habari zaidi soma:
http://thechronicleherald.ca/Canada/1055957.html
Showing posts with label Dominatrix. Show all posts
Showing posts with label Dominatrix. Show all posts
Monday, May 19, 2008
Tuesday, May 13, 2008
Binti wa miaka 12 afundishwa kuwa Dominatrix
Dunia hii! Leo kuna habari kuwa dada fulani huko Missouri aalifundishwa kuwa Dominatrix tangu ana miaka 12. Alilazimishwa kufanya kazi hiyo na wazazi wake.Kwa wasiojuo Dominatrix ni wale akina mama wanaolipwa kutesa wanaume kingono. Hao wanaume wanjipeleka wenyewe huko. Tena wengine watu wa makamu na wazee! Dume anaweza kuchapwa viboko pia. Kwa yale matendo ya ajabu kabisa inabidi mwanaume avae nepi maana anaweza kujikojolea au kujinyea. Wazungu wanapenda sana hiyo shuguli.
Dominatrix analipwa kumpiga mwanaume, kufanya naye ngono, kumfunga pingu na makufuli na madubwasha mengine kusudi asiweze kukimbia. Hapa Boston kuna dume alikufa huko kwa dominatrix.
Hao madomintarix hawana haya hata kidogo. Wanatangaza biashara zao wazi.
Police wanasema huyo dada aliyekamatwa leo kwa sasa ana miaka 2o. Wanasema kuwa alilazimishwa kufanya ngono na wanaume na baba yake wa kambo tangu ana miaka 12. Alilazimishwa kuangalia sinema za pono pia. Mama yake mzazi alitoa baraka zote.
Duniani kuna mambo!
*************************************************************
KANSAS CITY, Missouri (AP) -- Federal prosecutors have unsealed an indictment accusing a man and woman of training the woman's child to be a dominatrix, selling her sexual services and photographing some of the acts.
U.S. Attorney John Wood said the case is unusual in that a parent has been charged with the commercial sex trafficking of his or her own minor child.
Todd B. Barkau, 35, of New York state, and the 44-year-old mother were charged in the seven-count indictment. They once lived together in Blue Springs, Missouri, where the sex business was allegedly run.
"Barkau obtained control of a 12-year-old girl and he groomed, trained and forced her to become a sexual dominatrix," Wood said at a news conference in Kansas City on Monday.
Kwa habari zadi BOFYA HAPA:
Subscribe to:
Posts (Atom)

