Tuesday, May 13, 2008

Binti wa miaka 12 afundishwa kuwa Dominatrix

Dunia hii! Leo kuna habari kuwa dada fulani huko Missouri aalifundishwa kuwa Dominatrix tangu ana miaka 12. Alilazimishwa kufanya kazi hiyo na wazazi wake.

Kwa wasiojuo Dominatrix ni wale akina mama wanaolipwa kutesa wanaume kingono. Hao wanaume wanjipeleka wenyewe huko. Tena wengine watu wa makamu na wazee! Dume anaweza kuchapwa viboko pia. Kwa yale matendo ya ajabu kabisa inabidi mwanaume avae nepi maana anaweza kujikojolea au kujinyea. Wazungu wanapenda sana hiyo shuguli.

Dominatrix analipwa kumpiga mwanaume, kufanya naye ngono, kumfunga pingu na makufuli na madubwasha mengine kusudi asiweze kukimbia. Hapa Boston kuna dume alikufa huko kwa dominatrix.

Hao madomintarix hawana haya hata kidogo. Wanatangaza biashara zao wazi.

Police wanasema huyo dada aliyekamatwa leo kwa sasa ana miaka 2o. Wanasema kuwa alilazimishwa kufanya ngono na wanaume na baba yake wa kambo tangu ana miaka 12. Alilazimishwa kuangalia sinema za pono pia. Mama yake mzazi alitoa baraka zote.

Duniani kuna mambo!

*************************************************************

KANSAS CITY, Missouri (AP) -- Federal prosecutors have unsealed an indictment accusing a man and woman of training the woman's child to be a dominatrix, selling her sexual services and photographing some of the acts.

U.S. Attorney John Wood said the case is unusual in that a parent has been charged with the commercial sex trafficking of his or her own minor child.

Todd B. Barkau, 35, of New York state, and the 44-year-old mother were charged in the seven-count indictment. They once lived together in Blue Springs, Missouri, where the sex business was allegedly run.

"Barkau obtained control of a 12-year-old girl and he groomed, trained and forced her to become a sexual dominatrix," Wood said at a news conference in Kansas City on Monday.

Kwa habari zadi BOFYA HAPA:

6 comments:

Anonymous said...

Mimi namtaka sana mtu wa hivyo, wakati wa majambozz, na yeye ataona ninavyomshughulikia! Hata kama atanichapa uchi, nimeona wanaume wanachapwa uchi, duh. Da Chemi (mimi natoka ukweni kwako), halafu mwanaume wa Kinyamwezi unatandikwa MBOKO NA MAMAAAA, tehetehetehete

Anonymous said...

Ila inaonekama mijeuri sana hii miyanamke, kweli inaweza kukufanyia kweli, na mkoa wa Mara wawepo wawili watatu, Wakurya waone cha moto

Anonymous said...

Da Chemi, samahani mi sijaelewa. Sasa hao wanaume wanaoteswa wanaenda wenyewe kuteswa au wanabakwa au inakuaje? Yaani naomba nieleweshe katika mazingira hayo yanatokea? Mi nlizani ni maigizo tu.

Anonymous said...

Wanaume wengine waliozoea kwenda kwa hao hawezi kuona raha katika ngono mpaka anateswa hivyo! Bei zao mbaya!

Anonymous said...

mi sijaelewa kabsa uteswe kwa lipi?mara ngono sijui nini yani sijaelewa

Anonymous said...

Dada Kemi mambos?Kwanza hongera maana blog yako iko BOMBA!naipenda!Leo dada umeniacha hoi kwa usemi wako naquote "Wazungu wanapenda sana hiyo shughuli".Kwa maoni yangu nadhani SIO SAHIHI ku-generalize tabia kurepresent watu wote wa race hiyo maana inatoa wrong information kitu ambacho nafikiri hukusudii kufanya.Ni maoni yangu,nawasilisha!(smile)