Showing posts with label Map. Show all posts
Showing posts with label Map. Show all posts
Wednesday, December 22, 2010
Monday, September 28, 2009
Ramani ya Enzi za Mjerumani
BOFYA PICHA KUONA PICHA KUBWA ZAIDI:Kwa wadua wasiojua, hapo zamani za kale, Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanganyika. Hii picha ni ya enzi za Mjerumani wakati ni German East Africa. Bibi yangu marehemu alikuwa mtoto mdogo Mjeruman alipotua pale Manda, Ludewa Ziwa Nyasa. Anasema walikuwa wanacheza halafu wakatokea wazungu kwenye maboti.
Labels:
Burunidi,
German East Africa,
Lake Tanganyika,
Map,
Rwanda
Subscribe to:
Posts (Atom)

