Showing posts with label President Ali Hassan Mwinyi. Show all posts
Showing posts with label President Ali Hassan Mwinyi. Show all posts

Saturday, May 17, 2014

Mwalimu Nyerere, Mama Maria na Mzee Mwinyi

Nimeona kwenye mtandao hii picha ya Rais Mwinyi (Mzee Ruksa), Mwalimu Julius Kambarage na mke wake Maria.  Sijui ilipigwa mwaka gani lakini huenda ni wakati Mzee Mwinyio alivyokuwa Rais.


Friday, January 06, 2012

Mazishi ya Marehemu Azizi Sheween



Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu alhaj Ali Hassan Mwinyi na waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo Janaury 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.


Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Ahaji Ai Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe, Katibu Mkuu Kiongozi Mh Ombeni Sefue na waomboezaji kwenye msiba wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo January 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.

PICHA NA IKULU