Yaani siku hizi ukiwa Celebrity Bongo mapaparazzi wanakufuata kila uendapo! Hebu cheki Gazeti ya Udaku wiki hii! Huyo msichana anaweza kuwa binti au mjukuu wake. Huu mtindo wa densi unaitwa nini?Nimepata kwenye email. Sijui ni gazeti gani huko Tanzania. Wadau, hebu nisaidie kujua hii ni cover ya gazeti gani,

