![]() |
| Chemi Che-Mponda in Minneapolis, Minnesota 2006 |
Showing posts with label Rai. Show all posts
Showing posts with label Rai. Show all posts
Friday, October 04, 2013
Kumbe Mimi Nilikuwa Miss Tanzania Mwaka 1967!
Wadau, leo nimeamka asubuhi na kuanguka vicheko! Eti mimi ni Theresa Shayo yule aliyeshinda Miss Tanzania mwaka 1967! Naona gazeti la Rai walifanya Google search na kupata picha yangu kimakosa. LOL! Hiyo picha nilipiga mwaka 2006. Ubaya sioni walipotaja jina langu!
Subscribe to:
Posts (Atom)



