Showing posts with label Theresa Shayo. Show all posts
Showing posts with label Theresa Shayo. Show all posts

Friday, October 04, 2013

Kumbe Mimi Nilikuwa Miss Tanzania Mwaka 1967!

Wadau, leo nimeamka asubuhi na kuanguka vicheko!  Eti mimi ni Theresa Shayo yule aliyeshinda Miss Tanzania mwaka 1967!  Naona gazeti la Rai walifanya Google search na kupata picha yangu kimakosa.  LOL! Hiyo picha nilipiga mwaka 2006. Ubaya sioni walipotaja jina langu!



Chemi Che-Mponda in Minneapolis, Minnesota 2006