![]() | ||
| Haya jamani, kwa nini mnapoteza kununua nguo za harusi wakati mnaweza kusevu pesa kwa kufunga mkiwa uchi? Hao wazungu walisema hela ya nguo watatumia kwa ajili ya kulipa mortgage ya nyumba! Ingekuwa safi kama wageni nao wangekuwa uchi. Kutoka https://www.facebook.com/pages/Ijebu-News-Xtra/121224847988714?fref=photo |
Showing posts with label Wedding. Show all posts
Showing posts with label Wedding. Show all posts
Sunday, November 30, 2014
Wafunga Ndoa Uchi
Saturday, June 21, 2014
Rais wa Malawi Afunga Pingu za Maisha Leo! Ana miaka 74
![]() |
| Photos from the Wedding of President Peter Mutharika June 21, 2014 |
Photos courtesy of Charles Banda
Rais wa Malawi, Peter Mutaharika, (74) amemwoa mchumba wake Bi Gertrude Maseko leo mjini Blantyre. Hongera Bwana na Bibi Mutharika
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
****************************************
Kutoka: Voice of America
The couple and some of their “well-wishers” are expected to fund the wedding, after Mutharika ordered government officials to ensure that no state funds are used to organize the nuptial ceremony.
Mukhito said foreign dignitaries, members of the diplomatic corps, friends of the couple and residents of the region Mutharika hails from have been invited to be guests at the wedding this weekend.
“The wedding would be officiated here in Blantyre and after a reception will follow at Ndata Farm,” said Mukhito. “The bill is being footed by the president himself and some well-wishers. In fact, His Excellency has directed that no government money should be used on this wedding…we have religiously followed the directive from the president that no government money should be used for the wedding.”
Mutharika, 74, is a widower with two daughters and a son. He was however accused of being gay during the run up to last month’s general election.
Labels:
Harusi,
Malawi,
President Peter Mutharika,
Wedding
Friday, March 21, 2014
Mama Bishanga Asherekea Miaka Minne ya Ndoa
MAMA BISHANGA AMEREMETA/ 4th WEDDING ANNIVERSARY
Nawasalimu
na kuwashukuru wote mlionitumia kadi, txt, na kunipigia simu
kunipongeza na kunitakia heri ya kutimiza miaka minne ya ndoa yangu.
Nimeona nitumie njia hii nzuri na rahisi kuwafikishia shukurani zangu na
za mume wangu Mzee Marolen. Mungu ni mwema ametupa faraja amani na
furaha ya kuungana kwetu sote tukiwa ni mara yetu ya pili kufunga ndoa.
Kwa upande wangu
sikuweza kufunga ndoa na mchumba wangu wa kwanza kwa tofauti ya dini
alikuwa muislamu toka Tanga. Nilifunga ndoa mwaka 1978 na marehemu Isaya
Namajojo alikuwa anafanya kazi mamlaka ya bandari Mtwara na alikuwa
mcheza mpira wa timu ya Bandari Mtwara na timu ya taifa. Na mume wangu
huko Johannesburg alifiwa na mke wake mwaka 2009 kwa matatizo kisukari,
na tunamshukuru Mungu kwa kutuunganisha na kujenga ndoa yetu.
Tunawashukuru
wote watoto wetu Sizelina, Kilian na Hendrick (Kenny), Floronce, Lucy,
Nuru, Ibrahim, Amri, Thato na Zinzi na wajukuu zetu, ndugu zetu,
marafiki zetu na wasanii wenzengu toka Tanzania JB, Natasha, Monalisa,
George/Tyson, Bishanga, Lulu, Wema na wengine wote tunawapenda sana. AND
GOD BLESS YOU!
MAMA BISHANGA/ MRS MAROLEN
OHIO
USA
Saturday, November 02, 2013
Fesheni Mpya ya Picha za WanaHarusi Bongo
Wadau, naomba maoni yenu kuhusu hii picha. Mimi nasema Tarzan angefurahi sana kuona wanaharisu kwenye miti! Bibi harusi alipandaje na hiyo gauni na heels?
Labels:
Arusi,
Bibi Arusi,
Bride & Groom,
Bwana Harusi,
Harusi,
Wa,
Wedding,
Wedding Gown
Thursday, July 04, 2013
Kerry Washington Aolewa na MNigeria
Kutoka: NAIJA.com
Not exactly a Scandal, but this is certainly a surprise!
Kerry Washington married San Francisco 49ers cornerback Nnamdi Asomugha on June 24 in Blaine County, Idaho, E! News exclusively confirms.
Because, you know, they were such a high-profile couple…?
Well, according to sports gossip site TerezOwens.com , which was first to get wind of the happy news, Asomugha has been dating Vanity Fair‘s August 2013 cover girl since last summer.
The 31-year-old three-time Pro
Bowl star played with the Oakland Raiders, who drafted him following his
graduation from UC Berkeley in 2003, for eight seasons and the
Philadelphia Eagles for two before signing with the 49ers in April. The
bookish athlete is no stranger to showbiz, either, having scored acting
gigs on The Game, Friday Night Lights and Leverage in recent years.
Like his bride, Asomugha is also a dedicated activist and
philanthropist and he has participated in the Clinton Global Initiative
every year since 2009.This is the first marriage for Washington, 36, who went from generally lovely actress to mega-star over the past year thanks to her breakout roles playing not-to-be-messed-with political fixer Olivia Pope on ABC’s Scandal and Jamie Foxx‘s enslaved wife Broomhilda von Shaft in Django Unchained.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
http://www.ibtimes.com/kerry-washington-married-10-facts-know-about-her-new-husband-nnamdi-asomugha-1334197
http://networkedblogs.com/MNXwM
Labels:
Harusi,
Kerry Washington,
Nnamdi Asomugha,
Wedding
Tuesday, May 21, 2013
Kwa Nini Bibi Harusi Hulia Siku ya Harusi?
Swali uliulizwa:
Hawa najiuliza, kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?
1. Jee! Ni uchungu au furaha kwa kupata mume?
2. Ni uchungu au kufaraha ya kuondoka mazingira ya nyumbani kwao?
3. Ni furaha ya kwenda kuanza kumiliki kitanda na mumewe mfululizo na
kwa muda anao upenda (lile tendo)?
3. Au wanaogopa fedheha kwa kuwa wanaolewa /anaolewa akiwa si bikra?
4. Ni uoga wa kuanza kulala bila nguo ya ndani akiwa kwenye ndoa na mumewe?
Kwa nini mabibi harusi wengi huangua vilio?!
Dada Leila Sheikh kajibu hivi:
Kwetu sisi uswahilini usipolia wafinywa na kungwi.
Seriously huwa tunalia kwa sababu tunaondoka kwa wazazi wetu na kwenda kujiunga na koo jingine.
huwa
tunafundwa- "Mama Mkwe ndiyo Mama Yako sasa. Ba Mkwe ndiyo Baba Yako
kuanzia leo. Hawa usiwachukulie kama mawifi au mashemeji bali ndiyo
ndugu zako kuanzia leo. Mume akiwa kachacha, gongesha vikombe majirani
wafikiri munakunywa chai kwa bajia. Chakula kikikosekana, hakikisha
unachoma iliki ili majirani waamini unapika pilau. Mume akichelewa
kurudi, mlaki mlangoni kwa tabasamu. Akikukaripia, mwimbie wimbo wa
mapenzi "Sabalkheir (ishakuwa asubuhi anaporudi) Mpenzi, waonaje hali
yako?".
Na kwa nini nisilie baada ya kuambiwa hivyo?Unaondoka kwenu ulipodeka wenda ugenini.
Leila Sheikh
Labels:
Bibi Arusi,
Crying,
Harusi,
Leila Sheikh,
Wedding
Subscribe to:
Posts (Atom)












