Saturday, April 04, 2009

Tanzania Diaspora Network

TANZANIA DIASPORA NETWORK

Da Chemi pole na kazi. Tumeona kuna umuhimu wa kuwaunganisha watanzania wote wanoishi nje ya Tanzania ili tuweze kuzungumza, kuumiza vichwa, na kadhalika kuhusu maisha abroad na maisha Tanzania. Kuna mambo mengi ya kuongea kati ya watanzania hawa. Vile vile kuna nafasi ya kujuana na kusaidiana. Wenzetu wa mataifa mbalimbali tayari wao wana network kama hizi. Basi naomba msaada tutani uibandike hii network katika blog yako: www.tanzaniadiaspora.ning.com

Ahsante na kazi njema.

No comments: