Tuesday, December 08, 2009

Uganda Kuua Mashoga na Wenye Virusi Vya UKIMWI!!!

Sasa huko Uganda, naona zinaanza kufyatuka. Wanataka kupitisha mswaada amabo utaruhusu mashoga/wasenge wafungwe maisha au kuuwawa, wenye virusi vya UKIMWI kuuwawa! Pia wanasema hata WaGanda wanoishi ya Uganda wakijulikana kama wana hali hiyo warudishwe ili wauwawe! Na ukija mtu msenge na husemi utafungwa!

Doh, naona mambo ya Idi Amin haya! Hao wanaotakakupitsha huo mswaada waende wakapime UKIMWI kwanza. Pia waangalie familia zao na wahakikishe hawana ndugu ambaye ni mpenda jinsia moja! Sasa mtu akiwa na hasira na mtu atamwita shoga/msenge ili auwawe! MAZITO! Tutasikia watu wanakimbia Uganda kwa kuhofia maisha yao. Na watapiwa asylum nchi za magharibi.

**************************************************************************

Kutoka CNN.com

(CNN) -- As a gay man in Uganda, Frank Mugisha is used to the taunts, the slurs and the daily harassment of neighbors and friends.

But if a new bill proposed in the east African country becomes law, Mugisha could be put away for life, or worse, put to death for having sex with another man.

"Right now, you can't go to places that are crowded, because the mob can attack us or even burn us. We can't walk alone. We are ostracized by relatives. But if this bill passes, it will become impossible for me to live here at all. And that part hurts the most," Mugisha said.

The Anti-Homosexuality Bill features several provisions that human rights groups say would spur a witch hunt of homosexuals in the country:

• Gays and lesbians convicted of having gay sex would be sentenced, at minimum, to life in prison

• People who test positive for HIV may be executed

• Homosexuals who have sex with a minor, or engage in homosexual sex more than once, may also receive the death penalty

• The bill forbids the "promotion of homosexuality," which in effect bans organizations working in HIV and AIDS prevention

• Anyone who knows of homosexual activity taking place but does not report it would risk up to three years in prison.

"Who will go to HIV testing if he knows that he will suffer the death sentence?" Elizabeth Mataka, the U.N. Special Envoy on AIDS in Africa, told reporters last week. "The law will drive them away from seeking counseling and testing services."

Homosexuality is already illegal in Uganda under colonial-era laws. But the bill, introduced in October, is intended to put more teeth into prosecuting violators.

It applies even to Ugandans participating in same-sex acts in countries where such behavior is legal.
"They are supposed to be brought back to Uganda and convicted here. The government is putting homosexuality on the level of treason," Mugisha said.

Lawmakers have indicated that they will pass the bill before year's end.
It has the blessing of many religious leaders -- Muslim and Christian -- in a country where a July poll found 95 percent opposed to legalizing homosexuality.

The Rev. Esau Omara, a senior church leader, said over the weekend that any lawmaker opposing the bill will pay for it during the next election, according to local newspaper reports.
And a leading Muslim cleric, Sheikh Ramathan Shaban Mubajje, has called for gays to be rounded up and banished to an island until they die.

Several media outlets also have inflamed sentiments in recent months by publicly pointing out gays and lesbians.
Who will go to HIV testing if he knows that he will suffer the death sentence?--Elizabeth Mataka
In April, the Observer newspaper published tips to help readers spot homosexuals. And over the summer, the Red Pepper tabloid outed 45 gays and lesbians.

Uganda's President Yoweri Museveni has not publicly stated his position on the bill, but last month blamed foreign influence in promoting and funding homosexuality.

"It is true that, if the president has said that, he must have information that European nations are promoting (homosexuality) and recruiting homosexuals," government spokesman Fred Opolot said. "You must note that the president or the legislators are responding to the concern of the citizenry of the country."

At the Commonwealth summit in Trinidad and Tobago late last month, Canadian Prime Minister Stephen Harper said he pulled aside Museveni to deplore the bill.

"We find them inconsistent with, frankly, I think any reasonable understanding of human rights, and I was very clear on that with the president of Uganda," Harper told reporters.
In the United States, a coalition of Christian leaders released a statement Monday denouncing the bill.

"Regardless of the diverse theological views of our religious traditions regarding the morality of homosexuality, in our churches, communities and families, we seek to embrace our gay and lesbian brothers and sisters as God's children, worthy of respect and love," the statement read.
Human rights groups have called on Western nations to withhold aid from Uganda if the measure passes. About 40 percent of the country's budget comes from international aid.

"This draft bill is clearly an attempt to divide and weaken civil society by striking at one of its most marginalized groups," said Scott Long, director of the Lesbian, Gay, Bisexual and Transgender Rights Program at the New York-based Human Rights Watch. "The government may be starting here, but who will be next?"

Opolot, the government spokesman, said consideration of the bill in parliament is merely "democracy at work."

"We as a country are engaging and debating a pertinent issue," he said. "So if a foreign country chooses to cut aid simply because Uganda is debating its destiny, then it is quite outrageous and quite wrong."

Mugisha, who now heads the group Sexual Minority of Uganda, said he is working with lawyers and other activists to change minds and defeat the measure.

"I have put a lot of effort in this struggle. I just want to live freely every day," he said. "I want to be happy knowing that if I'm going to meet someone, I'm not going to be taken to jail forever."

29 comments:

Anonymous said...

Hawawezi kupistisha!

Anonymous said...

Waganda kwa kutafuta attention. Hiyo ni mbinu ya kupata pesa za donors.

Nautiakasi said...

Hao mashoga na wasagaji,bora wauliwe tu, kama ningekuwa bungeni huko uganda ningeunga mkono na mguu mswada huo, wauliwe tu hawana thamani ya utu, hata wao wenyewe wameshajitoa katika utu, wanazikataa jinsia zao shenz zao. ILA kuwauwa wenye HIV si kubaliani nao, kuna waloupata toka kwa mama zao wakati wakuzaliwa, kuna waloupata kwa kubakwa, kuna waloupata kwa kuletewa ndani na waume au wake zao...! Na hata kuna waloupata kwa sindano au njia nyengine zisizo za uesharati. Kipengele hichi wakiondoe, ibaki kuwauwa mashoga na wasagaji tu.

NB: Da Chemi acha kuendeleza propaganda za kimagharibi na Nyerere zisizo na ukweli wowote dhidi ya ALHAJ IDD AMIN, wame mpa majina yote mabaya, kisha wakampa sifa zote mbaya zisizo na ukweli. Wamefika hatua hata kuwita mla nyama za watu, uongo usioingia akilini hata kwa mtoto mdogo wa karne hii. Zote chuki sababu ya mtazamo wake wa kisiasa unatofautiana na hao wamagharibi, na zaidi ni IMANI yake (muislam) ikazidi kupandikiza chuki dhidi yake. Kama ni kuuwa wapinzani, hakuna Kiongozi hata mmoja wa afrika alie tawala mika hiyo ya 60's mpaka 80'S bila kuuwa wapinzani wake. Nasema hakuna kuanzia east hadi west, North hadi south! So mwacheni Amin wawatu apumzike kwa amani.

Anonymous said...

Nautikasi nina neno moja tu "You are so full of Crap"!! wewe ukija kuzaa mtoto akawa gay utamuua au unaongea kama punguani, you've messed my entire day, wewe unafikiri kwa mungu kuna dhambi kubwa na ndogo, wewe mwenzetu ni mtakatifu au malaika? unamambo mengi sana maovu umefanya ambayo Mungu amekusamehe kwakua yeye ni Mungu wa kusamehe halafu unaandika upupu wako hapo juu, eti gays na lesbians wauawe, nani amekuambia judgement ya Mungu inatolewa na binadamu, you need to check yourself!! Kwahiyo kama Idd Amin aliua ndio imehalalishwa mbele za Mungu? what exactly is you point here. Mtu anaweza kuishi vyovyote anavyopenda na kama hakuathiri wewe kwa njia moja au nyingine tatizo lako ni nini? wengi wa hawa gays wamezaliwa hivyo, na hata kama hawajazaliwa hivyo kuna tofauti gani na yule anaeenda kulala na mume au mke wa mtu au yule mbaka watoto wa watu je hawa hawaenezi ukimwi? let God do his job na haitaji msaada wako. Kwa taarifa yako Umoja wa mataifa na nchi nyingine haziwezi kufungia macho suala hili hizi ni ndoto za alinacha, watu kama nyie wenye mitazamo ya kijasusi ndio muondolewe kwenye jamii, nakuonea huruma lakini coz hata ushabiki wako wa Idd Amin tells a lot about what kind of a guy you are, VERY IGNORANT!

Anonimasi said...

Hhahahah this is "the fellowship/family" dream in the making. This has been in the making for a while and now it might pass the vote.

Muchuka said...
This comment has been removed by the author.
Muchuka said...

Ni jambo mbaya kumuua binadamu mwingi ati yenye ni shoga. yeye si mwizi ama terroris, hakuna mwenye ameumiza. bali wale ma fat cats wanaotuibia mali ya nchi wanende free, eti huyo bishop na sheikh wasema ni hatia. wao ndo wabaya zaidi, wameshidwa kufanya kazi zoa. wanakata mawingu ya mti lakini mizizi na mti wenyewe upo tu. dis is a time bomb wacha utaona

Anonymous said...

eti kuwaua shoga hou ni upumbavu. suruhisho sio hiyo, hata watu wandini wanasema vivyo hivyo. wao ndo wamefail. mtu shoga hajamtendea mwingine uovu eti aumizwe, lakini wale mafat cats wanenda huru

Anonymous said...

Ni kweli. Nani ataenda kupima UKIMWI huko akijua kuwa akitest positive atauwawa.

Anonymous said...

HAPANA! Hao wanatoka kufanya hivyo wajipime kwanza, huenda nao wana UKIMWI. Unyama gani huo!

Nautiakasi said...

Anony wa December 08, 2009 8:16 PM,
Ningeshangaa sana SHOGA wewe ungeniunga mkono. Nlijuwa GAY kama wewe watanitukana sana tu. Na nakwambia nikizaa shoga (GAY) kama wewe, basi ntamchinja mchana kweupe jua la utosi.Mashoga kama wewe na Wasagaji hamna thamani ya kuishi, na nyie mashoga na wasagaji wote mna matatizo ya akili. Nikuwauwa tu mpaka mumalizike kelbu wahed!

Anonymous said...

Natutia kasi unamaana gani kuita watu kelbu (mbwa)? Wewe unatabia za kishenzi sana. KOMA!

Anonymous said...

Nautikasi unazidi kuprove your ignorance so openly now, aliyekuambia kama naogopa kuwa gay ni nani, huyo mjomba ako Idd Amin unaemuona wa maana mbona he's paying the price up until now, your ignorance is worse than being gay believe it or not,ignorance is a disease and obviously huna hata dalili za kupona, unajua nilikuwa nasikia tu kuna watu kama ninyi kumbe kweli mna exist, it's very sad, If i was gay guess what I would have loved it, kama vile wewe unavyopenda upupu uliojaa kwenye ubongo wako. My point is there are better things to worry about in this world right now other than killing gay people, for instance trying to educate idiotic minds like yours takes a lot more energy, so I would rather use that energy to educate people more about AIDS instead of working with empty minds like yours. Unaponyooshea mwenzio kidole kimoja vile vinne vyote vinakugeukia wewe, are you that perfect? my perception of you is you are not even close to being perfect, so stop trying. Your anger, ignorance and lack of empathy to other human beings is total proof that we have a long way to go, do us a favor and use yourtime educating yourself maybe you'll learn something and realize you don't solve problems with hatred but love, kila la heri.

Baraka Mfunguo said...

That is the violation of human rights. As far as I am concerned the anti-homosexuality bill in Uganda is being magnified by western media propaganda.

The bill itself before being presented to the parliament, it has to pass through teams of experts who will review it thoroughly for the benefit of people of Uganda. Then if there are weakness the parliament won't approve it. And if it has become the law it has to be amended then.

Bottom line is that, each country has its own values and that must be respected.

Take an example in countries like Malaysia, Singapore, Indonesia,China etc consuming and selling drugs like cocaine is the worst offense ever done and it will cost your life.

Some of the states even in USA practices capital punishment for the crimes that a state sees fit and they would disagree with some other states or the law may differ from one state to another. And federal govt has nothing to do about it . I didn't hear any westerner shouting about it.

So homosexuality can be regarded as a crime in Uganda. Let people decide whether is or not that's democracy. And I see that bill will be beneficial for Ugandans If there are any objections it has to be amended before passed through parliament.

As far as Anti- Homosexuality bill is concerned in Uganda I have no objections about it and thumbs up to Mu7.

LET UGANDANS DECIDE FOR THEMSELVES

Anonymous said...

Nautiakasi anahaki mimi sioni faida ya mtu kuwa shoga ila ni upumbavu na ujinga usiokuwa na mwisho, Ukitazama mashoga hawana faida ya nchi wala chohcote ila ni madhambi yanasababisha hata nchi kutokewa na maasi wa pigo la mungu kama vile njaa, mvua kubwa na mafuriko na mengine ikiwa kuna wafuska kama hawa mashoga ndani ya nchi, hawamjui mungu mwao wamemuona hafai alivyowatoa duniani, dawa yao ni kuchomwa moto na kupigwa risasi.

Nautiakasi said...

Anony wa December 09, 2009 6:01 PM,
Ujinga wangu haufikii hata robo ya wehu ulonao. Wewe ni mjinga lakini ubaya zaidi ni mpumbavu. Sababu mjinga huenda akaerevuka siku moja. Lakini wewe mwehu na mpumbavu kamwe hutaerevuka, zaidi unapokea ujinga na upuuzi wa wazungu na kuuona ni wafaida, si kila kifanyikacho ulaya na marekani ni kizuri, wee mwehu! Lazima uwe na uwezo wa ku analyse! Jamii ya ki afrika haiko tayari kupokea upuuzi huo ulokujaa kichwani sababu una fanyika ulaya na marekani, mashoga na wasagaji hawastahili ku share na sisi hewa hii adimu, ni wakuzimu tu, wanastahili wachinjwe bila hata kufungwa kitambaa cha machoni. Nawewe shoga mkubwa au msagaji mkubwa, coz una sound kama demu hustahili hata chembe kula ugali wa dunia hii. Msagaji wewe utamuelimisha nani kuhusu UKIMWI, wakati research zinaonesha USHOGA ndio unaochangia zaidi kuenea kwa UKIMWI kuanzia amerika hadi afrika, na wewe msagaji una utetea, point yako ni ipi hapo? Mwehu we. Ni kizaa toto kama wewe bora kubadilishana kwa chapati ya Tsh 50 au kubadilishana kwa kitumbuwa cha sh 20 au kuchinja tu nyama ukawapa sangara ziwa victoria, huna maarifa wala nadhari,msagaji mkubwa wee!Kichwani umejaa makamasi badala ya ubongo.

Anonymous said...

Hivi wewe Nautiakasi,who do you think you are?wewe unamjua Mungu wewe?au unafikiri wewe ndio Mungu? yaani so judgemental!
Kwanza no manners,kutukanatukana tu, kama vile muuaji muuaji hivi,lugha za kuua ua tu!zarau zarau tu,no humanity, yaani ilimradi shari shari.

Yaani nakuonea huruma, yesu wangu, siku Mungu akikukamata wewe! Kajirekebishe before its too late, maana hizo jazba zako na mawazo ya kiroho mbaya yatakupeleka pabaya sana.

Ushauri wa bure kabadilike haraka sana.
Mdau mpenda Amani.

Anonymous said...

Wewe Nautikiakasi,halafu hizo jeuri,kebehi,kiburi,umachinoo umetoa wapi? UMEPIMA wewe?
Mdau mpenda amani

Anonymous said...

Nautiakasi nakuchukia kweli. Maneno yako ovyoooo! Mwanao akiwa gay utamwua kweli?

Anonymous said...

Asanteni anonymous wote ambao mmeweza kuona kuwa huyo Nautikasi ana tatizo, his insecurities zake obviously zina play a big part kwa jinsi anavyoreact kwenye issue hii, kama sio sala anahitaji kupepewa, nimepata nguvu baada ya kugundua you have deeper issues within yourself kwahiyo nimekusamehe, ila kaa macho sana insanity yako itakucost, ni wazi utahitaji therapist.

Anonymous said...

Its a shame that such a bill is even being considered in 21st century Africa. The problem with criminalizing homosexuality is that we do not fully understand in what contexts same-sex behaviors are taking place and how they are contributing to the wider HIV/AIDS epidemic. I have read several studies that have shown that the sex networks of men who have sex with men are intertwined with heterosexual sex networks. So if we want to fully tackle the HIV/AIDS crisis, it is imperative to target sexual minorities and change social norms towards homosexuality. These kind of policies enable the HIV/AIDS epidemic to flourish in Africa.

Nautiakasi said...

Maggie na anony wa December 10, 2009 1:46 PM
Endeleeni kinichukia, SIHITAJI kupendwa na WASAGAJI, napendwa na wanawake wanaojuwa thamani ya jinsia zao.Ongezeni chuki, kwani namimi nnavyowachukia nyinyi wasagaji ni balaa. Naombeni hiyo sheria isifike bongo, maana mtabaki huko huko ugenini, hata likizo hamtakuja huku.Tutawasubri JKN airport mkitia ngwala zenu tu tunawapeleka kuzimu. Wanaonitukana hapa wote ni hao wasagaji na mashoga, inaskitisha sana kuona madada zetu walokuwa na tabia njema walipofika ughaibuni wameangukia kuwa wasagaji, sijui ni wigo au uhayawani au ulimbukeni uloambatana na ujinga. Mbaya zaidi na baadhi ya kaka zetu walioko huko wengine ukiwaona kwa sura ni wanaume na suruali zao, lakini daah wengi wamegeuka kuwa "maembe dodo" aka mitaimbo doro, nenda eastafricantube ukashuhudie wanaume hao wakitanzania wamejifunga khanga za viuno wanakatika aka "mwanamke nyonga" eti wanasherehekea thanksgiving 2009! Maskini ndo maana dada zetu wengine kama mag... wanaishia kuwa wasagaji sababu wanaume wenyewe ndo hao khanga viunoni...! Nyie wadada msifanye hivyo (kusagana) rudini bongo huku kuna mitaimbo isolala iko kazini 24hrs.
Da chemi usibanie maoni, acha tuwaelimishe huenda wakaelewa, wao wanatukana tu hawana jipya, sababu hata nafsi zao zina wa beza kwamba wafanyayo sio sawa, ni uwehu, hata wanyama porini hawathubutu kufanya hivyo, haitotokea simba au hata mbwa au paka dume kumpanda dume mwenziwe au jike kumsaga jike mwenziwe....it seems wanyama wana nadhari kuliko hawa wasagaji na mashoga! Wanyama wanajuwa thamani ya jinsia zao kuliko hawa wanaojiita wanaadamu wasagaji na mashoga...NAWACHUKIA KULIKO CHOCHOTE KILE DUNIA HII

Asha_ngedere said...

Da Chemi frankly speeking, kwa maoni yangu naona wanaomtukana NAUTIAKASI wana matatizo. Sababu wewe ulipoweka hii habari kisha ukaruhusu maoni, ni kwa maana kila mtu atoe maoni vile anavyojiskia kuhusu sheria hiyo inayotaka kupitishwa huko uganda, hukusema lazima maoni ya kubaliane au kuikataa hiyo sheria, ni uhuru wa mawazo. Nautiakasi kama anavyojiita ametumia uhuru huo kueleza maoni yake (yuko aggressive kwa mashoga na wasagaji)na support sheria hiyo.Cha ajabu hao wengine badala yakutoa maoni yao na wao juu ya habari husika (objectively) wao wameanza kumtukana mtoa maoni (subjectively). Naanza kupata wasi wasi huenda ni kweli hawa walio react against NAUTIAKASI ni wasagaji au mashoga, walitakiwa watueleze kwanini hawastahili kuuliwa, watueleze usahihi wa vitendo vyao, watueleze kwanini sheria hii haifai,sio kumshambulia kwa mitusi mtoa maoni.
Back to the point, binafsi sikubaliani na sheria hii ya kuwauwa wasagaji na mashoga. Wasagaji na Mashoga ni wagonjwa wa akili kama walivyo wagonjwa wengine tu, na hakuna haki ya kuwauwa wagonjwa wa akili, wanachostahili ni kupewa tiba, wapewe nasaha na ushauri ulio sahihi, ili waachane na vitendo hivyo vya kuzalilisha. Mie kwa kuanza naanza na hawa WASAGAJI na Mashoga walomtukana mtoa maoni (hawa wanaotembelea hapa kwa Da Chemi). Hivi nyi nyi wasagaji na mashoga,mmeshawahu kujiuliza kama wazazi wenu (mama na baba zenu) wangeamuwa kuwa kama nyinyi (wasagaji na mashoga) hivi nyinyi mngezaliwa, mngepata fursa ya kuliona juwa hili la duniani, mngepata fursa ya kuja duniani kufanya huo usagaji na ushoga? Hivi muumba aloumba jike na dume, mnazani alishindwa kutuumba wote madume kisha tupandane wenyewe au sote majike kisha tusagane? Jee huoni kaumba jike na dume kwa viumbe vyote kuanzia wadudu mpaka binaadamu na hata viumbe vyengine tusivyoviona kwa naked eyes, jee huoni kama ameumba pair kwa maana yake, na ndio hiyo ilosababisha na wewe ukawa kwenye dunia hii ukapata nguvu ya kutukana? Hivi dunia hii iwe ya wasagaji na mashoga kuna litakalo kwenda? Ahh jamani, kweli huu ni ugonjwa wa akili.

Anonymous said...

Nautiakasi, umeyaktaka mwenyewe. Sasa unaonekana mwehu mapovu yanakutoka mdomoni. Eti wasenge wafe. Akiwa ndugu yako utataka afe?

Anonymous said...

Asha Ngedere issue sio kumtukana Nautikasi, issue ni kuwa yeye alitoa maoni yake akiwa biased sana hilo ni wazi wala usimtetee, watu wote waliomponda wameshangazwa na jazba na chuki ambazo amezihamishia hata kwa watoa maoni, uhuru wa maoni upo lakini unapoanza kutoa kauli za kikatili namna hiyo halafu utegemee watu wakae tu kimya itakuwa ni ujinga au kitu gani, angetoa justifications zake vizuri na kutueleza kwanini anaamini hayo anayoyaamini tungemuelewa lakini hata wewe mwenyewe Asha huwezi kukaa hapo ukatuambia kuwa Kuua binadamu mwenzio ndio solution ya kuondoa eti ukimwi, ni ndoa ngapi zinavunjika kila siku kwasababu ya uasherati, ni wanaume na wanawake wangapi wana kula uroda kila siku na hookers, kwanini wao wasiuliwe, kwani Ukimwi una jinsia? kwani Ukimwi uliotengenezwa na magay ni tofauti na ule unaotengenezwa na wasiokuwa waaminifu na ndoa zao? Halafu unauliza tukueleze kwanini gays wasiuawe jibu ni moja "It's a violation of human rights" period, hakuna jibu lingine hapo, halafu unavyomtetea huyo Nautikasi yeye matusi aliyoyatoa hujayaona au umeona ya wenzio tu, na hata kama hao wanaotoa comments ni wasagaji na wasenge so what nao si ni watoa maoni pia, wamekuja nyumbani kwako kukuomba chochote kwako, haya tuanze kukatana mapanga kama Sudan basi tuone kama huo Ukimwi utaisha, you need to set you priorities straight here, hatred is never a solution.Tumetimiza miaka 20 ya ugonjwa wa Ukimwi juzi juzi tu, ni kuangalia tufanyeje ili kupiga hatua ya kujikomboa na ugonjwa huu badala ya kufikiria kuua, so get informed, advocate for more resources for HIV at every level,do something to help prevent HIV or care for someone who is living with HIV, Know your status... let's make a difference!! Hayo ndio mambo ya kuomgea si kuua, kwa kujibu swali lako Asha ndio kuua wasenge ni kosa, huna haki ya kuua binadamu yeyote, awe msenge, mzinifu au mwizi, we need to check ourselves before we can pass such judgement!!!

Anonymous said...

Wanaoua Albino hawauwawi, baba wanaobaka watoto zao hawauwawi, leo kinachofanywa chumbani kati ya watu wawili mnakiona ndio issue, chunguzeni hapo nyumbani kwenu mtashangaa kwamba kuna magay mnaishi nao kila siku hamjui tu, uweni basi na hao nyie si mnajua sana kutoa uhai wa wenzenu, wewe Nautikasi ni idiot kabisa, umetokea kijiji gani, labda cha huko Uganda maana bongo sijaona idiot kama wewe!!

Anonymous said...

wewe Asha Ngedere aliyekuambia watu wanaopinga mawazo ya mshikaji wako Nautiakasi ni wasenge ni nani?

Yaani hatuwezi kutetea binadamu wenzetu mpaka tuwe wasenge?

Eti tutoe sababu kwanini wasenge wasiuliwe, mbona hamna aliyekuuliza wewe kwa nini usiuliwe kwa sababu upo hivyo ulivyo? yaani watu wasio na hatia waanze kutoa sababu kwa nini wasiuliwe?

Tukianza leo kuua wasenge je who will come next?where would we stop?kesho tutaanza kusema wenye rangi ya maji ya kunde wauliwe,keshokutwa tukishaonja damu tutasema wenye rangi nyeusi tii wauliwe,then tutaanza kufikiria nani tena aingie kwenye listi. Tutaanza kutafuta visababu mfano watu wenye mawazo kama yako na wao waingie kwenye listi, this is insane. Asha Ngedere toa sababu kwanza kwanini wewe even though hauna hatia kwa nini usiuliwe? ukishatoa sababu ndio uwaulize wenzako swali la kinyama na la kiroho mbaya kama hilo
Mdau mpenda amani.

Anonymous said...

NAUTIAKASI NAKUBALIANA NAWE KUWA USHOGA USAGAJI NI UCHAFU KINYAA KUMDHALILISHA MUNGU NA NI UGONJWA WA KISAIKOLOJIA!ILA MIMI SINGEPENDA WAULIWE,BALI KWA SABABU NI VITENDO VINAVYOMUUDHI MUNGU NA KUMCHEFUA(NDIO MAANA AKAWACHOMA WATU WA SODOMA NA GOMORA KWANI WALIKUA MASHOGA NA WASAGAJI)MIMI USHAURI WANGU NI KWAMBA TUWAOMBEE HAWA NDUGU ZETU MUNGU AWAFUNGUE KTK MINYORORO YA USHOGA NA USAGAJI KWANI KWA KUTUPIANA MANENO HATUTAWASAIDIA NA SHETANI ATAENDELEA KUWAPOTEAZA HUKU MUNGU AKITUADHIBU WOTE KWA MAJANGA NA MABALAA SABABU YA UCHAFU UNAOFANYWA NA HAWA WENZETU.MAOMBI NDUGU ZANGU MAOOOMBIII YA NGUVU YANAHITAJIKA DUNIA IMEKWISHA,WANADAMU WAMEWEHUKA NA KUFIKIA KUTENDA UCHAFU AMBAO HATA NGURUWE ANAUONEA KINYAA,JAMANI HIVI MTU UNAMVULIA NGUO DEMU MWENZIO..IGGGHHHH(NASIKIA KUTAPIKA)AU DUME MWENZIO..IIIGGGGHH(MATE YAMEJAA MDOMONI).KWELI KILA MTU ANA UHURU WAKE LKN HAYA YAMEZIDI JAMANI..TUNAELEKEA WAPI JAMANI PEOPLE ITS HIGH TIME KUTUBU NA KUMRUDIA MUNGU WAPENDWA ILA KUUANA SIO SOLUTION NZURI NI UKATILI KWANI NI MUNGU PEKEE ATAKAYETOA HUKUMU SIKU YA MWISHO.NAUTIAKASI NDUGU YANGU TUWAOMBEE WALIOTEKWA KTK HUU UCHAFU LA SIVYO SHITANI HATAWAACHIA.
by fröken.

Anonymous said...

HAKUNA BINADAMU ALIYEUMBWA AKIWA SHOGA AU MSENGE, HAYO MAMBO NI YA KUIGA TUU HAPA DUNIANI. NA KAMA WACHANGIAJI WALIVYOCHANGIA HUKO JUU, HAO WATU HAWAWEZI KUZALISHA CHOCHOTE ZAIDI YA KUWAZA KULALA NA KUFANYA HUO UPUUZI. KWA HIYO HAYO MAMBO SIO YA KU INTERTAIN HATA KIDOGO, ADHABU KAMA HIZO ZINAWAFAA. TUACHE UJINGA WOTE MNAOMKANDIA NAUTUIA KASI MNAONYESHA HAMCHUKII VITENDO HIVYO. ALICHOFANYA NAUTIAKASI NI KUONYESHA HISIA ZAKE KWA KUCHUKIA MAMBO HAYO SASA KWA NINI ASIUNGWE MKONO? TUMIENI AKILI ZENU VIZURI EBOO