Thursday, July 15, 2010

Athari za Wanawake Kuwa na Matako Makubwa



Wataalam wamefanya uchunguzi na kuamua kuwa mwanamke akiwa na matako makubwa, hips kubwa, mafuta kwenye eneo la hips basi atakuwa msahaulifu, punguani, akifika miaka 65! Lakini ukiwa na Tumbo kubwa mambo safi.

Jamani, ni kweli lakini? Sijui wamefanya uchunguzi na wanawake wa rangi gani. Sidhani kama wamechunguza wanawake wanaokaa Afrika. Maana unakuta wanawake wenye umri mkubwa bado 'Sharp'!
Hebu soma chini.

***************************************************************



July 15, 2010 7:16 a.m. EDT

(CNN) -- A woman's body shape may play a role in how good her memory is, according to a new study.

The more an older woman weighs, the worse her memory, according to research released this week from Northwestern Medicine at Northwestern University in Evanston, Illinois.

The effect is more pronounced in women who carry excess weight around their hips, known as pear shapes, than women who carry it around their waists, called apple shapes.

The reason pear-shaped women experienced more memory and brain function deterioration than apple-shaped women is likely related to the type of fat deposited around the hips versus the waist.

Scientists know that different kinds of fat release different cytokines -- the hormones that can cause inflammation and affect cognition.

"We need to find out if one kind of fat is more detrimental than the other, and how it affects brain function," said Dr. Diana Kerwin, the lead author of the study and an assistant professor of medicine and a physician at Northwestern Medicine. "The fat may contribute to the formation of plaques associated with Alzheimer's disease or a restricted blood flow to the brain."

The study published in Wednesday's Journal of the American Geriatric Society said, on average, there is a one-point drop in the memory score for every one-point increase in body-mass index -- a ratio of a person's height and weight. The study included 8,745 cognitively normal, post-menopausal women ages 65 to 79.

"Obesity is bad, but its effects are worse depending on where the fat is located," Kerwin said.

"The study tells us if we have a woman in our office, and we know from her waist-to-hip ratio that she's carrying excess fat on her hips, we might be more aggressive with weight loss," Kerwin said. "We can't change where your fat is located, but having less of it is better."

12 comments:

Anonymous said...

Walpima wazungu! Tangu zamani za kale mabibi zetu wamebarikiwa na wanakuwa na akili zao hadi kufa na miaka 100!

Anonymous said...

Washamba hao wanatuonea gere.Wanataka tuwe vimbaumbau kama wao.

Anonymous said...

Ina maana tuache kusifia wenye matako makubwa na tusifie wenye matumbo makubwa! Wazungu bwana!

Anonymous said...

Huyp anayejipima anataka kujua kapigwa pasi kiasi gani nini?

Anonymous said...

sasa chepi na wewe yako makubwa kwamaana hiyo na wewe utakuwa hivyo ukifika hiyo miaaka?

Anonymous said...

Hamna lolote hao wazungu ni wazushi, mbona bibi na mama zetu wengi wameishi na maumbile makubwa na matako makubwa lakini
hawaathiriki na lolote,waafrika tusiwasikilize wazungu hayo ni mambo ya kwao

Anonymous said...

Tusiwasikilize wazungu, hayo ni mambo ya kwao kwan wanaume wa ulaya wana tabia ya kutopenda wanawake wenye matako makubwa,tusiwaige kwani mwanamke wa afrika matako na hips nimoja ya uzuri wake.TUSIWASIKILIZE!

Anonymous said...

sasa kibongo bongo bila usafiri(wowowo) ni bure so those guys are useless,may be if they will try to look for something else,how will i love a lady with abig stomach!!!

Anonymous said...

mimi naamini kabisa hiyo kabla hata sijasoma hapa hiyo ndo imani yangu kumbe wanasayansi wamegundua nao?!!! na ni wale tunawaita wenye shape not just matako ni wale wa figa 8 kiuno cha nzige ni kweli wengi wao wana ubongo wa samaki tulikuwa nao 2 shuleni tulikuwa tunacheka sana kuwa Mungu kawawapa sura nzuri na shape lakini kawanyima akili walikuwa hata kiswahili wanapata 0!!!

Anonymous said...

Huyo fleti anayejjipima hanitamanishi sasa huyo mwenye wowowo nasema WOW KUBWA! Asante kwa picha!

Anonymous said...

Ni kweli jamani. Wanawake wengi wenye mawowowo empty head, nafikiri huwa zimeamia huko chini.

Anonymous said...

Mkereketwa, Utaalam bwana siyo upepo, yasemwayo kama ni ya kitaalam inawezekana ni kweli.Ila ninachojua na niliwahi kuona kwa kweli mwanamke mwenye hips kubwa na makalio akisogeza umri, akivua nguo hutatamani kwa kuwa ngoz/nyama za makalio na hips zinlegea sana,(wachaga wanasema zinnalendemka)kiasi kwamba havutii.Fanyeni utafiti kwa wanawake walio wengi wenye sifa hizo huwa wanatelekezwa na wenzi wao au kuwekwa pending kwa zile ndoa za kichungaji.!!!!