Hali inatisha.Allah atusalim salama!
JAMANI HALI INATISHA
SANA,NIPO HAPA NILIKUWA NA MTU NAFANYA NAE KAZI ANANIHADITHIA JINSI
ALIVYOIBIWA PESA IJUMAA ILIYOPITA NIMEOGOPA,SIJUI TUFANYEJE TUWAPO NA
PESA UUWIIIIIII.
NAHISI KABISA WAHUDUMU WA BANK AU MAMENEJA WA BANK
WANASHIRIKI HUU MCHEZO,ANASEMA ALICHUKUA MKOPO NMB SH MILIONI 30!!KWA
NIA YA KUMALIZIA UJENZI,SIKU YA IJUMAA KUNA KAZI ALITAKA KUFANYA NA
FUNDI KUNA VIFAA WALITAKIWA WANUNUE PAMOJA NA GHARAMA ZA UFUNDI INGEFIKA
KM MILION 10 HIVI,AKAENDA BANK MLIMANI
CITY KUCHUKUA HIZO PESA,
AKIWA TAYARI AMESHAZICHUKUA FUNDI AKAMPIGIA SIMU
KUWA AMEFIWA KWA HIYO KAZI HAITAFANYIKA KWA SIKU 3,YULE KAKA AKAONA
ASIKAE NA PESA NYINGI HIVYO AKAAMUA AZIWEKE TENA MILION 7 ABAKI NA
3,NAHISI ALIVYOCHUKUA ZILE PESA AKAWA AMESHALENGESHWA,ALIPOTOKA TU BANK
AKAPIGIWA SIMU NA MTU MWINGINE WALIONGEA DILI LA TILES KUWA AMRUSHIE M 1
KWENYE M PESA MAANA DILI LIKO TAYARI,AKAINGIA PALE VODA AKAWEKA PESA
AKAMTUMIA AKABAKI NA M 2 AKAWEKA NA NYARAKA ZAKE FULANI MLE KWENYE
BAHASHA YA FEDHA,AKATOKA,ANASEMA MUDA WOTE KUNA KIJANA ALIKUWA ANAMFATA
NYUMA AKIINGIA SEHEMU YULE KIJANA ANASIMNAMA NJE KUZUGA LKN HAKUMTILIA
MAANANI,AKAINGIA KWENYE GARI AKAONDOKA KUPITIA GETI LA UPANDE WA
SURVEY,ILE ANAKATA KONA PALE ZINAPOPAKI BAJAJ KUNA PIKIPIKI IKAM
BLOCK,AKAJA KIJANA MMOJA DIRISHANI ANA BASTOLA AKAMWAMBIA TUPE HIZO
MILION 10 ZETU,USIPIGE KELELE KISHA ONDOA GARI FASTA,KWA KUKUHURUMIA
HATUKUUI,TUPE HELA NA HUO MKOPO TUTAUTUMIA WOTE!!!.
YULE KAKA ANASEMA
ALIBAKI MDOMO WAZI,HAWA WATU WAMEJUAJE KM NIMEKOPA??BASI ALICHOFANYA
AKAWAPA ILE BAHASHA FASTA IKIWA NA MILION 2 LKN IMETUNA NA YALE
MANYARAKA MENGINE WAKAJUA MILION 10 IKO MLE KUMBE MWENZAO ALIZIRUDISHA
NYINGINE,AKAONDOA GARI MBIO,ANASEMA ILE TU KUNUSURIKA KUFA
ALICHANGANYIKIWA AKATOKA MBIO MOJA KWA MOJA HADI MSIKITINI
MWENGE,AKASWALI KUMSHUKURU MUNGU,AKARUDI NYUMBANI,ANASEMA ANAOGOPA KBS
KWENDA TENA BANK NDO ALIKUWA ANAOMBA NIMUELEKEZE JINSI YA KUHAMISHA
FEDHA TOKA KWENYE ACOUNT KWENDA M PESA ILI AWE ANATOLEA KWA WAKALA,TUWE
MAKINI JAMANI PESA ZETU WENYEWE ZITATUUA!!!
Tuesday, August 26, 2014
Facebook ya Zitto Kabwe imekuwa Hacked!
Kutoka kwa Maggid Mjengwa - Facebook
*******************************
TAHADHARI: KUNA MTU AMEHACK FACEBOOK ACCOUNT YA ZITTO KABWE
Muda mchache uliopita nimepokea ujumbe kwa anayejifanya Zitto Kabwe ( Impersonate) unaosomeka hapo chini ambao niliutilia mashaka kutoka sentesi ya kwanza. Usome....
"Habari, samahani kwa ujumbe huu endapo kama utakukera ila napenda kukurekebisha lengo kukuweka sawa na kukuepusha katika matatizo. Kuna taarifa umepost katika group ya facebook view timeline kupitia link hii hapa www.facebook-view-timeline.wap ka.mobi
kiukweli sio taarifa nzuri inaleta uchochez wa vita ya kidini,siasa na
mfarakano wa ubaguzi kua makini nimepata taarifa jesh la polisi
wanafatilia hz ripot na wapo ktk msako wa kukutafta ili utoe maelezo
yakina. Nimezipa hzo hapa www.facebook-view-timeline.wap ka.mobi mtu akilogin hapo akiingza email na password anaona yote. Kua makini"
*******************************
TAHADHARI: KUNA MTU AMEHACK FACEBOOK ACCOUNT YA ZITTO KABWE
Muda mchache uliopita nimepokea ujumbe kwa anayejifanya Zitto Kabwe ( Impersonate) unaosomeka hapo chini ambao niliutilia mashaka kutoka sentesi ya kwanza. Usome....
"Habari, samahani kwa ujumbe huu endapo kama utakukera ila napenda kukurekebisha lengo kukuweka sawa na kukuepusha katika matatizo. Kuna taarifa umepost katika group ya facebook view timeline kupitia link hii hapa www.facebook-view-timeline.wap
Labels:
Facebook,
Hacking,
Maggid Mjengwa,
Matepeli,
Mh. Zitto Kabwe
Thursday, August 21, 2014
Ubaguzi Marekani- Inasikitisha
Hao wazungu pichani wote wameua watu! Lakini wamekamatwa na wako hai, wako jela.! Mweusi akishukiwa kufanya uhalifu anauawa kama mnyama na Polisi!
Labels:
Killers,
Murder,
Racism,
Ubaguzi,
White Privilege
Tuesday, August 19, 2014
Rais Kikwete Atoa Rambirambi Kwa Familia ya Jaji Makame
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama
Salma Kikwete wakiwafariji wafiwa walipokwenda kutoa
pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es
salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es
Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.
Mama Salma Kikwete akiweha saini
katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa
pole nyumbani kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kwanza wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu, Mheshimiwa Lewis Makame Masaki jijini Dar es
salaam aliyefariki katika Hospitali ya AMI Trauma Centre Jijini Dar es
Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.
PICHA NA IKULU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, MheshimiwaDkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za RambirambiMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, National Electoral Commission (NEC) kufuatia taarifa za kifo cha aliyekuwaMwenyekiti wa Kwanza wa Tume hiyo, Jaji Mstaafu, MheshimiwaLewis Makame kilichotokea katika Hospitali ya AMI TraumaCentre Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Agosti, 2014.
“Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifocha Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Tanzania naMwenyekiti wa Kwanza wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) chini ya Mfumo wa Vyama Vingi vya Siasa,Mheshimiwa Lewis Makame ambaye amelitumikia Taifaletu katika Utumishi wa Umma kwa uaminifu, uadilifu,bidii na umahiri mkubwa”, amesema kwa masikitiko RaisKikwete katika Salamu zake.
Katika utumishi wake, Marehemu Jaji Lewis Makame, enzi zauhai wake, alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania kabla yakuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa na baadaye Mwenyekiti wa NECambayo aliiongoza kwa miaka 17 mfululizo hadi alipostaafumwaka 2011. Uongozi wake ulichangia sana kuimarisha amani,utulivu, umoja na mshikamano wa kitaifa katika mazingira mapyaya demokrasia ya vyama vingi vya siasa hapa nchini.“Ni kwa kutambua kipaji kikubwa cha uongozialichokuwa nacho Marehemu Jaji Lewis Makame, Taifa.
Labels:
Judge Lewis Makame,
Kifo,
Msiba,
Rambirambi
Monday, August 18, 2014
Ubaguzi Marekani - Mauaji ya Michael Brown
It is a shame that Racism is Alive and Well in America today. A Black person is always guilty until proven innocent. A white cop shoots 18 year old Michael Brown 6 times. While that officer is free and in hiding somewhere the police make every attempt to discredit the deceased. Good cops do not execute people! Will there be justice for Michael Brown?
Labels:
Killing,
Michael Brown,
Officer Darren Wilson,
Racism,
Racist Police,
Ubaguzi
Jumuiya ya waTanzania D.C., Maryland & Virginia (DMV)
Mubelwa Bandio kati akiwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi za Mwenyekiti wa Jumuiya DMV Liberatus Mwang'ombe (L) na mgombea nafasi ya Katibu Msaidizi Solomon Chris (R0 wakati wa mahojiano |
Matokeo yake yamekuwa yakipingwa na waliokuwa wagombea wa uchaguzi huo kutokana na sababu mbalimbali.
Wamaketi na Vijimambo Blog na Kwanza Production kueleza sababu hasa za kupinga matokeo hayo siku ya Jumatano ya Agosti 13, 2014.
Karibu uungane nasi kusikia wanachopinga
Thursday, August 14, 2014
SUMATRA Mko Wapi? Abiria Wanateseka
Abiria wakwama njiani zaidi ya masaa 6 abiria ambao walikuwa wanaelekea mwanza na gari la princes shabaha wamezidi teseka huku hawajui hatima yao ya safari
Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX Wamekwama maeneo ya kibamba jiji dar es salamu huku kina mama na watoto wakizidi teseka
Mama Huyu Akiteseka na mtoto mdogo
Abiria wakiwa nje ya basi
Gari hilo lenyenamba za usajili T102 AVX Wamekwama maeneo ya kibamba jiji dar es salamu huku kina mama na watoto wakizidi teseka
Mama Huyu Akiteseka na mtoto mdogo
Abiria wakiwa nje ya basi
Labels:
Ajali. Car Accident,
Breakdown,
Bus,
SUMATRA
Saturday, August 09, 2014
Kibonde wa Clouds FM Akamatwa na Polisi Leo
Ni mara chache sisi waandishi wa habari, tunakuwa habari!
********************************
Habari na picha kutoka FACEBOOK:
Mtangazaji Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akipingana na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini Dar es salaam.
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila kufuata taratibu za usalama barabarani,hali iliyomlazimu yule Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia.
Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge na Trafiki aliingia katika gari lake na kumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde aligoma na kumtaka trafiki ashuke katika gari lake,Trafiki naye hakutana kufanyi kwa maana ya kuwa aligoma kushuka na kumuamuru Kibonde arudi eneo la tukio.
Kibonde aliondoa gari na kuendelea na safari yake huku yule Trafiki akiwa ndani ya gari hiyo, Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kama walivyopewa maelekezo na mwenzao aliopo ndani ya Gari hiyo.
Mara Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo kulikuwa na Trafiki mwingine aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde na ambapo inasemekekana hakusimama na badala yake ikaja gari nyingine na kuichomekea kwa mbele na hapo ndipo alipotiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki na yeye kuwekwa chini ya ulinzi na baadae akahamishiwa Kituo cha Oystabay ambako yupo mpaka sasa.
Inadaiwa kuwa Kibonde alikuwa amelewa sana,hali iliyopelekea kufanya hayo yote ikiwa ni pamoja na kuwajibu vibaya Askari hao.
********************************
Habari na picha kutoka FACEBOOK:
Askari wa Trafiki Akimkamata Ephraim Kibonde |
Ephraim Kibonde ndani ya Lock Up |
Mtangazaji Mahiri wa Redio 88.5 Clouds FM kupitia kipindi cha Jahazi, Ephrahim Kibonde akipingana na Askari wa Usalama barabarani wakati alipotakiwa kutii sheria bila shurti,mapema asubuhi hii jijini Dar es salaam.
Kibonde anadaiwa kusababisha ajali asubuhi hii eneo la Makumbusho, ikiwa gari aliyokuwa akiendesha kuigonga gari ya dereva mwingine kwa nyuma. Trafiki walifika eneo la tukio na kupima ajali, Kibonde alipoona hivyo akarudi nyuma na kuendesha gari lake kuondoka eneo la tukio bila kufuata taratibu za usalama barabarani,hali iliyomlazimu yule Trafiki katumia gari lililogongwa kumfukuzia.
Walifanikiwa kumkamata eneo la Mwenge na Trafiki aliingia katika gari lake na kumwomba arudi eneo la ajali ili wakapime na kuchora mchoro wa ajali. Kibonde aligoma na kumtaka trafiki ashuke katika gari lake,Trafiki naye hakutana kufanyi kwa maana ya kuwa aligoma kushuka na kumuamuru Kibonde arudi eneo la tukio.
Kibonde aliondoa gari na kuendelea na safari yake huku yule Trafiki akiwa ndani ya gari hiyo, Trafiki aliwasiliana na wenzake ambao walianza kuifuatilia gari hiyo ya Kibonde kama walivyopewa maelekezo na mwenzao aliopo ndani ya Gari hiyo.
Mara Kibonde akatokea maeneo ya mataa ya Ubungo, hapo kulikuwa na Trafiki mwingine aliyekua eneo hilo akaipiga mkono gari ya Kibonde na ambapo inasemekekana hakusimama na badala yake ikaja gari nyingine na kuichomekea kwa mbele na hapo ndipo alipotiwa mbaroni! Aligoma kuendesha gari ikabidi livutwe hadi polisi Urafiki na yeye kuwekwa chini ya ulinzi na baadae akahamishiwa Kituo cha Oystabay ambako yupo mpaka sasa.
Inadaiwa kuwa Kibonde alikuwa amelewa sana,hali iliyopelekea kufanya hayo yote ikiwa ni pamoja na kuwajibu vibaya Askari hao.
Labels:
Arrested,
Askari,
Dar es Salaam,
Ephraim Kibonde,
Mwenge,
Traffic Police,
Trafiki
Rais Kikwete Atembelea Maktaba ya Rais Mstaafu wa USA George W. Bush
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya
Kirais ya Rais Bush (Bush Presidential Library) iliyo katika Taasisi ya Bush (George W. Bush Institute) mjini Dallas, Texas, na kujionea nafasi kubwa
iliyotolewa kwa Tanzania na zawadi ambazo Rais Bush alizipata katika ziara
yake rasmi ya Tanzania wakati akiwa Rais wa Marekani.
Maktaba hiyo ya
kuvutia inaendeshwa kwa teknolojia ya kisasa kabisa ya habari na
mawasiliano.
Rais Kikwete alikuwa amesimama mjini Dallas kwa muda akiwa njiani kutoka
Washington D.C., kwenda Houston, jimbo hilo hilo la Texas kuhudhuria
mkutano wa wafanyabiashara wa mafuta na gesi ambao wanataka kuwekeza katika
sekta hiyo katika Tanzania.
Rais Kikwete amekuwa katika Marekani kwa ziara ya kikazi ya siku tisa,
ambako miongoni mwa mambo mengine, amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za
Marekani na Afrika uliofikia kilele chake jana kwa kikao kilichoendeshwa na
Rais Barack Obama wa Marekani katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani
mjini Washington D.C.
b1: Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (*Bush Presidential Library) sehemu ambayo imejengwa kwa mfano wa Ikulu ya Marekani, White House, hususan katika bustani ya Waziri (Rose Garden) pamoja na ofisi ya Rais wa Marekani, Oval office*
*b3, b4, b5: *Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea
na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa
kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais
ya Rais Bush (*Bush Presidential Library) *
*b3, b4, b5: *Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (*Bush Presidential Library) *
*b3, b4, b5: *Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (*Bush Presidential Library) *
*b3, b4, b5: *Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea na kujionea vitu mbalimbali ambavyo Rais mstaafu George W. Bush alipewa kama zawadi kutoka Tanzania ambavyo vimehifadhiwa katika Maktaba ya Kirais ya Rais Bush (*Bush Presidential Library) *
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiondoka baada ya kutembelea Maktaba
ya Kirais ya Rais Bush (*Bush Presidential Library)
Threatening Remarks By Swazi Minister Cause for Concern
Press Statement
Marie Harf
Deputy Department Spokesperson, Office of the Spokesperson
Deputy Department Spokesperson, Office of the Spokesperson
Washington, DC
August 9, 2014
The
United States is deeply concerned by the threatening remarks made by
Swaziland Prime Minister Sibusiso Barnabas Dlamini toward Swazi labor
and civil society leaders who participated in the U.S.-Africa Leaders
Summit in Washington this week. Such remarks have a chilling effect on
labor and civil rights in the Kingdom of Swaziland.
The United States continues to
support and defend fundamental freedoms, including freedom of
association, and the human rights defenders who fight for these values
each day. We call upon the Government to renounce the Prime Minister’s
remarks and to ensure respect for the constitutionally enshrined rights
of all citizens.
The
Office of Website Management, Bureau of Public Affairs, manages this
site as a portal for information from the U.S. State Department.
External links to other Internet sites should not be construed as an endorsement of the views or privacy policies contained therein.
External links to other Internet sites should not be construed as an endorsement of the views or privacy policies contained therein.
Swaziland's Prime Minister Dr. Barnabas Sibusiso Dlamini |
Tuesday, August 05, 2014
Sunday, August 03, 2014
Pastor Myamba Azawadiwa Gari Na Pesa Taslim Shilingi 250M/- Katika Harusi Yake Huko Zanzibar!
Pastor Emmanuel Myamba na Mke wake |
Picha na Maelezo Kutoka Swahili World Planet Blog:
Harusi ya Pastor Myamba pengine ndiyo harusi ya star wa Tanzania kuzawadia mali nyingi zaidi ! Myamba amefunga ndoa Zanzibar weekend hii huku akizawadia zawadi kibao za mamilioni likiwemo gari na pesa taslim shilingi milioni 250 za kitanzania. Mastaa mbalimbali wamehudhuria harusi hiyo visiwani Zanzibar. piacha zaidi zinakujia...........
Saturday, August 02, 2014
Zile Sheria za Kuzuia Usenge na Ushoga Si Halali - Maamuzi ya Mahakama
Mahakama Kuu ya Uganda imeamuru kuwa zile sheria za kuzuia Usenge na Ushoga Uganda si halali. Wamesema kuwa sheria haikupitishwa kihalali. Hivyo vimefutwa. Sasa Usenge na Ushoga Ruksa! Wasenge na Mashoga wa nchi za Magahribi watafurahia habari habari hiyo maana walisema kuzuia ni kinyume na haki za binadamu!
******************************************
By RODNEY MUHUMUZA
KAMPALA, Uganda (AP) - A Ugandan court on Friday invalidated an anti-gay bill signed into law earlier this year, pleasing activists and watchdog groups who called the measure draconian and wanted it repealed.
The Constitutional Court declared the law illegal because it was passed during a parliamentary session that lacked a quorum.
Activists erupted in cheers after the court ruled the law "null and void," but some cautioned that the fight was not over: The state could appeal the ruling in the Supreme Court and legislators might try to reintroduce new anti-gay measures. Also, a colonial-era law that criminalizes sex acts "against the order of nature" still remains in effect in Uganda, allowing for continued arrests.
The invalidated law provided jail terms of up to life for those convicted of engaging in gay sex. It also allowed lengthy jail terms for those convicted of the offenses of "attempted homosexuality" as well as "promotion of homosexuality."
Although the legislation has wide support in Uganda, it has been condemned in the West.
The U.S. has withheld or redirected funding to some Ugandan institutions accused of involvement in rights abuses, but the ruling Friday might win the Ugandan delegation a softer landing in the U.S. next week as it heads to Washington for a gathering led by President Barack Obama.
The panel of five judges on the East African country's Constitutional Court said the speaker of parliament acted illegally when she allowed a vote on the measure despite at least three objections - including from the country's prime minister - over a lack of a quorum when the bill was passed on Dec. 20.
"The speaker was obliged to ensure that there was a quorum," the court said in its ruling. "We come to the conclusion that she acted illegally."
The courtroom was packed with Ugandans opposing or supporting the measure.
Frank Mugisha, a Ugandan gay leader, said the ruling was a "step forward" for gay rights even though he was concerned about possible retaliation.
Ugandan lawyer Ladislaus Rwakafuuzi, an attorney for the activists, said the ruling "upholds the rule of law and constitutionalism in Uganda."
U.N. Secretary-General Ban Ki-moon welcomed the decision as a "victory for the rule of law," according to a statement read by U.N. spokesman Stephane Dujarric. "He pays tribute to all those who contributed to this step forward, particularly the human rights activists in Uganda who spoke out at great personal risk."
Lawyers and activists challenged the anti-gay law after it was enacted in February on the grounds that it was illegally passed and that it violated certain rights guaranteed in Uganda's constitution.
The court ruled Friday that the activists' entire petition had been disposed of since the law was illegally passed in the first place. This means there will be no further hearings about the activists' argument that the anti-gay measure discriminated against some Ugandans in violation of the constitution.
Nicholas Opiyo, a Ugandan lawyer who was among the petitioners, welcomed the ruling but said there is a missed opportunity to debate the substance of the law. "The ideal situation would have been to deal with the other issues of the law, to sort out this thing once and for all," Opiyo said.
He mentioned the existing law that still allows for arrests of alleged offenders. Lawmakers might also try to reintroduce a new anti-gay measure, he said.
Kosia Kasibayo, a state attorney, said a decision had not been made on whether to appeal the ruling in the Supreme Court, Uganda's highest court.
The anti-gay legislation was enacted on Feb. 24 by Ugandan President Yoweri Museveni, who said he wanted to deter Western groups from promoting homosexuality among African children.
Some European countries and the World Bank withheld aid over the law, piling pressure on Uganda's government, which depends on Western support to implement a substantial part of its budget. Ofwono Opondo, a Ugandan government spokesman, had repeatedly described Western action over the law as "blackmail." Opondo and other government officials were not immediately available for comment after the Friday ruling.
Supporters of the anti-gay measure say they believe Museveni - who will lead Uganda's delegation to the U.S. next week- may have quietly backed the court's ruling. Many Ugandans see the courts as lacking independence and unlikely to make decisions strongly opposed by Museveni, who has held power here for nearly three decades.
"This ruling has got nothing to do with the will of the people," said Martin Ssempa, a prominent Ugandan cleric who has led street marches in support of the anti-gay measure. "Unfortunately, it has everything to do with pressure from Barack Obama and the homosexuals of Europe."
Although Ugandan police say there have been no arrests of alleged homosexual offenders since the bill was enacted, gay leaders and activists say suspected homosexuals have been harassed by the police as well as landlords, sending many underground and unable to access essential health services. Ugandan police raided the offices of a U.S.-funded clinic that offered AIDS services to homosexuals after the bill was enacted.
The HIV prevalence rate among homosexual men in the Ugandan capital of Kampala is 13 percent, about double the national average, according to the U.S.-based advocacy group Health GAP. It said in a statement that the court's decision was "a crucial development for increased access" to life-saving health services.
"This is a great day for social justice," Michel Sidibé, the executive director of the United Nations AIDS agency, said of the Ugandan court's decision. "The rule of law has prevailed."
Labels:
Gay Marriage,
Lesbianism,
Uganda,
Usenge,
Ushoga
Mbinu Za Utapel! Dawa - Msijibu!
Wadau, hata siku moja usitoe password yako! Watu halali hawaombi Password!
*****************************************
Scheduled Maintenance
You submitted a request to terminate your Yahoo Mail Account and the process has started by our Yahoo MailTeam, Please give us 3 working days to close your Yahoo Mail Account.
To cancel the termination request click here
For further help please contact support department.
*****************************************
Scheduled Maintenance
Dear Yahoo Customer,
You submitted a request to terminate your Yahoo Mail Account and the process has started by our Yahoo MailTeam, Please give us 3 working days to close your Yahoo Mail Account.
To cancel the termination request click here
All folders on your Yahoo Mail Account including (Inbox, Sent, Spam, Trash, Draft, Folders) will be deleted and access to your Yahoo Mail Account will be Denied.
For further help please contact support department.
Regards,Yahoo Mail Account Services
______________________________ ______________________
Please do not reply to this message. Mail sent to this address cannot be answered
______________________________ ______________________
Please do not reply to this message. Mail sent to this address cannot be answered
*************************************************
Your Account Will Be
Blocked!
|
Your Account will Expire
on Friday, JULY 25 / 2014
If you would like to
continue using your Email Address,
|
YOU
WILL LOSE YOUR EMAIL ADDRESS IF YOU DO NOT UPGRADE YOUR ACCOUNT.
UPGRADE IS FREE OFF
CHARGE.
|
Thanks.
|
Yahoo!
Inc ©2014 All Rights Reserved
****************************************************************************************
To Me
Jul 20
Hello,Compliment of the day to you. I am Mrs Chantal Diarrah, I am sending this brief letter to solicit your partnership to transfer $19.5 million US Dollars. I shall send you more information and procedures when I receive positive response from you. Best Regards, Thanks Mrs. Chantal MY DIRECT CELL LINE :(00226) 77 42 18 85
**********************************************
CONFIDENTIAL TRUST URGENT REPLY
Dear Partner, I want to transfer ($9,300.000.00) Nine million three hundred thousand United States Dollars from here in Burkina Faso to overseas account. Your assistance as a foreigner is necessary because the management of the bank will welcome any foreigner who has correct information to this account which I will give to you immediately, if you are interested to do this business with me. Please reply with the assurance, include your private telephone and fax numbers, it is necessary to facilitate an easy communication in this transaction. As soon as you reply, so that i will let you know the next step to follow in order to finalize this transaction immediately. Upon your response and strong assurance that you will not let me down once the fund goes into your account. I will let you know the origin of the fund and the transfer procedures without delay. Contact me on this email address felix.lawre20@yahoo.no Best regards, Mr. Felix Lawrence.
**************************************
Mr Issa Nana
To you
Jul 19
Please my good friend,
I am the General Audit Manager, Accounts Department in our bank. I have the opportunity of transferring the sum of (US$5.5 million).This fund originally belonged to one of our bank Customer who died in the year 2004. My request for foreigner to stand as next of kin in this business is because the fact that the customer is a foreigner. Based on the fact that this is a deal, I propose that 40% of this fund for you and 50% for me.10% for the poorest and rest for me I will give more detail of the transfer process as soon as you show your interest in this transaction.Email:mr.issa_nana1@terra.com Thanks, |
Subscribe to:
Posts (Atom)