Wadau, leo sherehe za Arobaini ya marehemu baba yangu mzazi, Dr. Aleck. H. Che-Mponda, zilifanyika mjini Dar es Salaam, pale nyumbani Tenki Bovu, Mbezi Beach Juu. Nafurahi mwanangu, Camara aliweza kuhdhuria pamoja na mdogo wangu Jessica.
REST IN ETERNAL PEACE DR. ALECK H. CHE-MPONDA (1935-2015)
![]() |
Mapadre wa Anglikana waliosimamia Misa |
![]() |
Wapwa wa Marehemu |
![]() |
Father Haule wa Kanisa Anglikana Kawe akiongea |
![]() |
Ndugu wa Marehemu |
![]() |
Ndugu wa Marehemi |
2 comments:
Mama Camara
Shukrani kwa taarifa na picha. Ni kumbukumbu nzuri. Ningekuwa Dar ningehudhuria. Apumzike kwa amani Mzee wetu.
Apumzike kwa Amani! Nilikutana naye Ocean Road hospitali alipokuwa katika matibabu!
Post a Comment