Saturday, June 22, 2013

Romeo na Juliet wa Congo Wajinyonga!

Wadau, mnajua ile hadithi ya Romeo na Juliet? Vijana wawili  walioishi Uingereza mwaka 1597 waliopendana sana lakini wazazi wao walikataa wasifunge ndoa kwa vile mwanaume alitokea ukoo maskini. Romeo na Juliet walijiua kwa kunywa sumu.   Sasa, huko Congo hao wapenzi wamejinyonga pamoja baada ya wazazi wao kukataa wasifunge ndoa! Rest in peace.

*********************************

KUTOKA MASAI NYOTA MBOFU BLOG

http://www.masainyotambofu.blogspot.ca/

NAOMBENI RADHI KWA PICHA HII: TUKIO LA KUHUZUNISHA! MVULANA NA MSICHANA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE!!! SOMA HAPA

 
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi7DfV6QbpkMbwEnf1dBNtw_yx-fZ8Sbkv_yWlr7Rq9oE2ftyEYK4GgHSqLOESSXBRtIpnpmHOsiYXI-r2fOFpcrlyvDLMVea9RA5xjYdstTRnfQJJWBhQkqLdSlwdVQAramBh6TQ/s1600/wape.jpg
 
 Mkasa huu umetokea huko Congo.
 
Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.
 
Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto

1 comment:

Anonymous said...

Kulikoni! Si wangetoroka tu! Wamejiu nani kafadi sasa!