Tuesday, July 09, 2013

Rais Kagame wa Rwanda Amtishia Rais Kikwete

Kutoka: www.afroamerica.net./AfricaGL

I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete 

by AfroAmerica Network on July 3, 2013
 
President Kikwete of Tanzania (L) and President Paul Kagame of Rwanda (R)
 
“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR  and urging negotiations… negotiations?  Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete]  did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”

It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.
 
Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security  in the African Great Lakes region.
 
 
Then, General Paul Kagame, while addressing a closed door meeting with his close aides, called the Tanzanian President “4Bs”, which in Rwandan language means “an opportunist, attention seeker, arrogant and contemptible person.”
 
 
The latest public threats by  General Paul Kagame against the physical person of the Tanzanian President are arguably the most serious sign of how worse the relations among the two countries and the their leaders have become. According to sources in Kigali, General Kagame has also been frustrated by the attention Tanzanian President has been receiving from World powers. Until a few years ago, Rwanda and its dictator was the darling of the West. The attention from the West has since dwindled.
 
 
The upcoming days and months promise to be full of anticipation and sursprises in the Great Lakes Region of Africa.
 
2013 AfroAmerica Network. All Rights Reserved.

12 comments:

Anonymous said...

I want a front row seat to see our beloved President Kagame beat the wimpy President of Tanzania.

Anonymous said...

Jamani, sasa huyo Kagame amekuwa kama Idi Amini na upumbavu wake! Khaa!

Zitto K. said...

Kulikuwa kuna kikao cha siri cha viongozi wa maziwa makuu na KM wa UN. Kikao kile mwenyekiti alikuwa Museveni na kwa kuwa alichelewa Kikwete akakalia kiti kwa muda. Baada ya mazungumzo ya marais wengine Kikwete akatoa summery ya nini kimezungumzwa kabla ya kumkabidhi kiti Museveni. Katika summery ile ndio akasema 'ni vema Serikali za Rwanda na Uganda zifunguwe mlango wa mazungumzo na waasi wao na akaanza kutaja majina ya vikundi vya uasi vya nchi hiyo vilivyopo nchini DRC. Museveni akakubali na kusema bila mazungumzo hatutafika popote pale.

Kikao kilipoisha Waziri wa mambo ya nje wa Rwanda akafanya press conference, akasema kikwete anataka tuongee na FDRL. Rwanda ndio waliiambia dunia nini kimetokea kwenye kikao. Kiukweli wali spin dunia version yao ya nini kilitokea. Toka wakati huo reference ni hiyo. Tanzania imetoa ufafanuzi wa nini ilisema. Waziri Membe ameeleza Bunge nini kilitokea nk.

Rais Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje, Waziri wa Ulinzi na magazeti ya Rwanda yamekuwa toka wakati huo yakitoa kauli za kuashiria shari tu. Kuna njia za kidiplomasia kama hujaridhika na jambo. Hawafuati njia hizo isipokuwa wanajenga propaganda kali sana nchini mwao ili wananchi wajiandae kisaikolojia kwa ajili ya vita.

Ninachohisi mimi, kwa usomaji wangu mdogo wa masuala ya kimataifa, Rais Kagame anatumia suala hili katika jitihada zake za kubadili katiba ya Rwanda ili aendelee kuwa Rais. Kigezo kwamba bado nchi ipo hatarini na hivyo inahitaji yeye abakie. Tayari kuna mtafaruku mkubwa sana ndani ya RPF kuhusu suala hili na wiki kadhaa zilizopita amewatimua mawaziri aliona ni hatari kwake katika kuendelea kuwa Rais.

Masuala ya ndani ya Rwanda hayatuhusu sisis maana tuna yetu mengi ya kushughulikia. Hayo tuwaachie wanyarwanda wenyewe. Suala la Rwanda kuwa ndani ya DRC linatuhusu maana tuna wajibu wa kimataifa ambao tumepewa, kulinda hadhi ya mipaka ya Kongo. Lakini pia Kongo ni soko letu kwa bidhaa zetu na Bandari yetu, amani kule ni muhimu kwetu.

Hivyo, hatupaswi kumjibu Kagame kwa lolote lile. Busara inatutaka tuwe kimya na kujiandaa iwapo tutashambuliwa. Vilevile ni vema watu neutral kama Rais Uhuru Kenyatta waingilie kati na kurejesha maelewano miongoni mwa Rais Kagame na Rais Kikwete. Haina maana yeyote ile kuendelea na uhasama ndani ya EAC.

Vita haitamwumiza Kagame wala Kikwete na familia zao. Itaumiza wananchi wa kawaida wa mikoa ya Kagera na Kigoma na mikoa ya mpakani ya Rwanda. Vita itaturudisha nyuma sana kwenye juhudi za maendeleo. Vita itazima harakati za kujenga demokrasia nchini.

Busara itumike tu. Some one must talk to Kagame about this. A delegation from Tanzania. That someone is Salim Ahmed Salim (SAS) kwani wanaelewana na kuheshimiana. Ikishindikana Rais wa Kenya afanye kazi hiyo.

Anonymous said...

Wewe Unayejiita Zitto K; sijui kama wewe ni Zitto Zuberi Kabwe original au umetumia jina tuu. Tanzania haina sababu yoyote ya kuwalamba matako wanyarwanda. Tunatakiwa tuwe na uwezo wa kumdhibiti Kagame kama ataendelea kukosa adabu.

Kagame kama anadhania Tanzania ni kama Congo DRC, basi anatakiwa apewe somo na ikibidi aondolewe madarakani.

Anonymous said...

wee mdauu hapo chini ya zitto kabwela. wewe hujui vita manaake nini maana unashabikia tu!hivi unadani nguvu mnayo ya kumuondoa kagame madarakani au kumdhibiti? ninyi endeleeeni kuwasaidia hao FDRL genosidazi mnawafuga kwenu mnawapa silaha nk;;usfkilie kwamba Rwanda ni Burundi maana mmevuruga amani huko hadi kuwaweka waaasi madarakani ilaaa hayo hamtoyafanya Rwanda. maana tutawawashia moto hamjawahi kuona na lazima mtoke nduki tu na vitambi vyenu mara ya mwisho kupigana vita ninyi lini ? Enzi za amin shauri yenu edeleeni kutuchokonoa mtakiona cha mtema kuni.usfkilie wingi wa wanajeshi ndio kushinda vita askali wa wili wanatimua kambi Zima la jeshi.endeleeni hata sisi tulio staafu tuko majuu njii ikituitaji tutashuka kujaa kuwawashia moto. WADANGANYIKA KIKWETE ATAWALETEAA BALAAA

Anonymous said...

kagame hana ubavu hata chembe wa kupambana na watz,nchi yenyewe ni kama mkoa mmoja wa tz,pia hana rasilimali zaidi ya anazopora drc kwa kisingizio cha kupambana na fdlr.anzisheni muone kilichmtoa nyoka pangoni

Anonymous said...

Mazungumzo pengine ni muhimu ila tu muda si muafaka. Kuaminiana kati ya FDLR na RPF kwa sasa vidonda bado vibichi.La kuzingatia kama FDLR haikuweza kukandamiza jamii moja siku zote ndivyo itakavyoweza kutokea. Pengine hilo la kuvizia muda muafaka wa kujibu mapigo ndio mbinu ya majeshi na wanajeshi wote wakiwamo FDLR a genocidas. Sasa isifikie huko kwani itakuwa perpetual visasi. je nchi itaendelea wakati kila wakati hujui lini huo muda utakuwa. vita si lelemama siiombei kwani najua kutoka frontline nini maana ya kuishi!

Anonymous said...

Ina maana kagame ameshindwa kulewa lugha ambayo mwenzie mseveni kaielewa?.

Mbona hata Israel na palestina wanakaaga meza moja kuongea?. Alilozungumza rais wetu si jipya Duniani.

Au Kagame anataka kutumia mlango wawaasi kujinufaisha kisiasa?

Angalia Kagame kuna siku wananchi wako watakushtukia?

Nina uhakika ingekuwa Kagame amejibiwa jinsi alivyomjibu yeye Kikwete, Angeanzisha vita siku hiyo hiyo.

domikhalifa said...

namuunga mkono zitto
mi ni msomi wamambo ya kimataifa na diplomasia kwaujumla
kiukweli ni taratibu tu zakidiplomasia vita ni stage nyingine kabisa kwahivyo haya mambo si kam kagame hayaelewi ila anachokifanya ni propaganda kipo anachokitaka lakini kwawatanzania na EAC kwaujumla hatupaswi kushabikia tuingie vitani,watanzania hata tuwe nanguvu kiasigani bado vita nikitu kingine sana kwa maisha yawananchi wa kawaida,nwasilisha kwakulaani vikali propaganda za kagame nawote waliyotune mawazo yao katika vita

Anonymous said...

Kwa muda mrefu Mhe. ZZK amekuwa akihoji haja ya uwepo wa tanganyika, hapa jukwaani na kwengineko. jana jioni niliona posti hii kwenye ukurasa wake wa fb.

"Ntanga na Nyika ni samaki 2 wanaopatikana katika Ziwa Tanganyika. Ntanga ni samaki mwenye akili sana na hakamatwi kirahisi maana huruka juu kukwepa nyavu za wavuvi. Nyika ni samaki wa ajabu sana, yeye anatoa 'umeme', ukimshika anapiga 'shoti'. Waingereza waliivamia 'DeutschOstafrika' ambayo sasa ni Tanzania Bara kutoka Magharibi (kutoka koloni lao la Rhodesia). Kwa kutumia majina ya samaki hawa na jina la Ziwa walilotumia kuvamia koloni hili la Wajerumani, wakaita nchi yetu TANGANYIKA territory. Jina hilo likadumu mpaka Uhuru. Naona sasa linaelekea kurudi kwenye Mjadala wa Muundo wa Muungano" ZZK.
Kwa maoni yangu hii inamjulisha kagame Tanganyika ni nchi gani na Tanzania imeundwa na nani huku ikiweka wazi mabadiriko ya ZZK kuwa uwepo wa tanganyika ni dhahiri.

Anonymous said...

napata picha kwanini wahutu walifanya genocide mbaya kivile.kikwete dunia yote imekuona upo sawa,huyo panzi uwezo wa kumuangamiza masaa nane unao,ila msikilizie kwanza.

Anonymous said...

napata picha kwann wahutu walifanya genoside mbaya kivile,kikwete dunia imekuona upo sawa,huyo panzi najua ukimua masaa manane utakuwa umeishapata kakichwa kake.but mlie ubuyu kwanza.