Taarifa
inatolewa kwa umma kuwa NGOs zilizoorodheshwa chini zimefutiwa usajili
kuanzia tarehe ya tangazo hili kutokana na kukiuka matakwa ya kisheria
katika utendaji kazi. Kwa tangazo hili, uhalali wa kufanya kazi kwa
mashirika haya umekoma na kuendelea kufanya kazi baada ya kufutiwa
usajili ni kosa la jinai. Viongozi wa NGOs tajwa wanaagizwa kurejesha
vyeti vya usajili kwa Msajili ndani ya siku thelathini baada ya tangazo
hili. Orodha hii inahusisha mashirika ya kimataifa. Orodha ya mashirika
ya ndani inachambuliwa na itatangazwa muda wowote;
1. AFRICA CALL MANAGEMENT INSTITUTE (ACMI)
2. AFRICA CENTRE FOR PEACE AND DEVELOPMENT
3. AIDOS - TANZANIA
4. ASSOCIAZIONE CASAGLIA ROSETTA
5. COPE-COOPERATION DEVELOPMENT COUNTRIES
6. DAN CHURCH AID
7. DIGITAL LINKS TANZANIA
8. EKKLESIA INTERNATIONAL TANZANIA
9. FEED THE CHILDREN TANZANIA
10. GLOBAL ALLIANCE FOR AFRICA TANZANIA
11. GLOBAL VESSELS TANZANIA
12. HEALTH DEVELOPMENT INTERNATIONAL (HDI)
13. EMPOWERMENT RESULT IN BALANCE AND EQUALITY (ERBAAQ)
14. MENNONITE CENTRAL COMMITTEE IN TANZANIA (MCCTZ)
15. MIDMAY INTERNATIONAL
16. PAMOJA INC.
17. PAN AFRICAN WHEEL CHAIR BUILDERS ASSOCIATION (PAWBA)
18. JAMII ONLUS
19. THE BALM IN GILEAD TANZANIA
20. THE INTERNATIONAL INSTITUTE OF THE IOGT - NTO MOVEMENT
21. TROCAIRE
22. VETERINARIANS WITHOUT BORDERS GERMANY(VSF- GERMANY)
23. WORLD ISLAMIC CALL SOCIETY
24. WORLD SOCIETY FOR THE PROTECTION OF ANIMALS (WSPA)
MSAJILI WA NGOs
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF COMMUNITY DEVELOPMENT, GENDER AND CHILDREN
PUBLIC NOTICE
Notice
is hereby issued to the general public that the list of NGOs as hereby
mentioned have been deregistered with effect from the date of this
Notice due to contravening the requirements of the NGOs Act, N0. 24,
2002 (as amended) in their operations. By this notice, operations of the
mentioned NGOs is hereby ended and any operations subsequent to this
notice shall be void and actions shall be taken accordingly. Office
bearers of the said organizations are hereby ordered to submit to the
Registrar Certificates of Registration of respective Organizations
within thirty days from the date of this Notice. This list involves only
International NGOs, the List of Local NGOs is being analyzed and it
will be issued soon.
1. AFRICA CALL MANAGEMENT INSTITUTE (ACMI)
2. AFRICA CENTRE FOR PEACE AND DEVELOPMENT
3. AIDOS - TANZANIA
4. ASSOCIAZIONE CASAGLIA ROSETTA
5. COPE-COOPERATION DEVELOPMENT COUNTRIES
6. DAN CHURCH AID
7. DIGITAL LINKS TANZANIA
8. EKKLESIA INTERNATIONAL TANZANIA
9. FEED THE CHILDREN TANZANIA
10. GLOBAL ALLIANCE FOR AFRICA TANZANIA
11. GLOBAL VESSELS TANZANIA
12. HEALTH DEVELOPMENT INTERNATIONAL (HDI)
13. EMPOWERMENT RESULT IN BALANCE AND EQUALITY(ERBAAQ)
14. MENNONITE CENTRAL COMMITTEE IN TANZANIA (MCCTZ)
15. MIDMAY INTERNATIONAL
16. PAMOJA INC.
17. PAN AFRICAN WHEEL CHAIR BUILDERS ASSOCIATION (PAWBA)
18. JAMII ONLUS
19. THE BALM IN GILEAD TANZANIA
20. THE INTERNATIONAL INSTITUTE OF THE IOGT - NTO MOVEMENT
21. TROCAIRE
22. VETERINARIANS WITHOUT BORDERS GERMANY(VSF- GERMANY)
23. WORLD ISLAMIC CALL SOCIETY
24. WORLD SOCIETY FOR THE PROTECTION OF ANIMALS(WSPA)
REGISTRAR OF NGOs
No comments:
Post a Comment