Saturday, January 30, 2016
WaTanzania Wengi Wanakosa Fursa za Maendeleo Kutokana na Kutokujua Lugha
Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu Sumaye Mabwepande Imevamiwa!
Murder in Burundi
Associated Press
BUJUMBURA, Burundi (AP) - Satellite images, video footage and witness accounts show that dozens of people allegedly killed by Burundian security forces in December were later buried in mass graves, Amnesty International reported Friday.
The report came as unrest in Burundi escalated with the arrest of 17 people in a security sweep, including two foreign journalists who were released later Friday.
The rights group reported five possible mass graves in the Buringa area on the outskirts of the capital, Bujumbura, which has been wracked by violence as the security forces go into neighborhoods seen as opposition strongholds. Two journalists on assignment for the French newspaper Le Monde were among 17 people swept up in a military operation Thursday, said Moise Nkurunziza, a deputy spokesman for Burundian police.
Journalists Jean-Philippe Remy of France and British photographer Philip Edward Moore were released on Friday afternoon, Le Monde said.
Witnesses described how police and local officials scoured Nyakabiga and other neighborhoods in Bujumbura to retrieve the bodies of those who were killed late last year and took them to undisclosed locations, according to Amnesty International.
"The imagery, dating from late December and early January, shows disturbed earth consistent with witness accounts. Witnesses told Amnesty International that the graves were dug on the afternoon of Dec. 11, in the immediate aftermath of the bloodiest day of Burundi's escalating crisis," the group said.
Earlier this month, U.N. human rights chief Zeid Raad al-Hussein also called for an urgent investigation into the alleged existence of mass graves following the violence in December. Zeid said the "increasing number of enforced disappearances, coupled with allegations of secret detention facilities and mass graves is extremely alarming."
Burundi's government has dismissed those allegations, saying they were based on false information supplied by the regime's opponents.
In coordinated attacks, gunmen stormed three military installations in Burundi on Dec. 11. The next day, 28 people were found shot dead in three Bujumbura neighborhoods. An witness told The Associated Press that some of the dead had their hands tied behind their backs. Another witness blamed government security forces, saying they went after the victims in door-to-door searches.
President Pierre Nkurunziza's decision to seek re-election to a third term last April touched off street protests that led to a failed coup in May and a rebellion that has left the central African country on the brink of civil war.
The Burundian government has rejected the proposed deployment of African Union peacekeepers in Burundi, saying they will be treated as an invading force.
---
Saturday, January 23, 2016
Rais Mstasfu Jakaya Kikwete Atunukiwa Shahada ya Udakatari ya Uhusiano ya Kimataifa
Wednesday, January 20, 2016
Dkt Kingwangalla Aunda Kikosi Kazi Kuboresha Suduma za Afya ya Jamii
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameanzisha kikosi kazi cha watu 24 ambacho kitakuwa na kazi ya kutengeneza mpango mkakati wa kuwezesha kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF).
Katika taarifa ambayo imetolewa na Dkt. Kigwangala imeeleza kuwa kazi ya kuanzisha kikosi kazi hicho ni agizo kutoka kwa Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu ambaye alimtaka aanzishe kikosi hicho ili washirikiane kuanzisha mpango mkakati wa kuwezesha kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii.
“Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Ally Mwalimu alinipa kazi ya kuunda kikosi kazi maalum na kushirikiana nacho kutengeneza mpango mkakati wa kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF),” alisema Dkt. Kigwangalla.
Dkt. Kigwangalla amewataja wajumbe wa kikosi kazi hicho kuwa ni Prof. Angwara Kiwara, Prof. Phares Mujinja, Dkt. Francis Frederick, Dkt. Heri Marwa, Dkt. Deogratius Pisa, Dkt. Amos Kahwa, Irenei Kiria, Semkae Kilonzo, Gemini Mtei, Dkt. Jehovaness Aikaeli na Obey Assey.
Wengine ni Mathias Kabunduguru, Dkt. Dereck Chitama, Prof. Flora Kessy, Florence Mwanri, Athuman Rehani, Maximillian Mapunda, Bedason Shallanda, Daniel Ngowi, Beng' Issa, Edwin Mikongoti, Hussein Sengu, Dkt. Beatus Leon na Dkt. Pastory Sekule.
Aidha Dkt. Kigwangalla amewashukuru wajumbe hao kwa kukubali kufanya kazi na wizara ya afya kupitia mpango mkakati wa kuwezesha kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii bila malipo yoyote.
Hata hivyo mara baada ya kuwachagua wajumbe wa kikosi kazi hicho tayari kimependekeza mapendekezo yao jinsi ya kuboresha Mfuko wa Afya ya Jamii ambayo ni kuipa nguvu kadi ya CHF ili itumike kwenye mfumo wa Afya mpaka ngazi ya Hospitali za Rufaa za Mikoa na vituo vya Jirani na kupandisha kiwango cha kuchangia CHF mpaka 30,000.
Mapendekezo mengine ni kuweka bei za kukatisha tamaa watumiaji wa huduma za Afya bila kadi ya Bima ya Afya ama ya CHF na kuwahamasisha waamue kujiunga kuliko kulipa gharama za kila huduma watakayotumia, kuhamisha Mfuko wa fedha za CHF kutoka Halmashauri na kuupeleka NHIF ngazi ya mkoa lengo likiwa kumtenganisha mtoa huduma na mteja na kuweka 10,000 kuwa kiwango cha chini kwa bei za huduma za afya sehemu yoyote nchini kwa mtu asiye na kadi.
Aidha mapendekezo yao yatatumika kama serikali itayaridhia na wao wametoa mapendekezo hayo kutokana na kutambua kuwa Watanzania wapo tayari kulipia huduma za afya kwa bima ilimradi wawe wanapatiwa huduma bora ambazo zitawaridhisha.
No MiniSkirt Ban in Tanzania
Saturday, January 16, 2016
Ndoto ya Dr. Martin Luther King Jr
Marehemu Dr. Martin Luther King Jr. alipigania haki za watu weusi Marekani. Aliota kuwa siku moja wazungu hawatabagua weusi na kutuheshimu. Aliuawa na Mbaguzi mwaka 1968 akiwa na miaka 39.
Kwa Habari zaidi za Dr. King BOFYA HAPA:
Friday, January 15, 2016
Taswira Mbovu ya Barabara ya Market Street Mjini Mwanza
Thursday, January 14, 2016
Maombi ya Kumombea Rais Magufuli na Serikali Yaka Mjini Mwanza
Tuesday, January 12, 2016
Saturday, January 09, 2016
Unaweza Kutajrika na Powerball Sasa Jackpit ni Dola $900 Milioni!!!
Picha Rasmi ya Rais John Pombe Magufuli
Picha rasmi ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli imetoka leo (Januari 8, 2016) katika Ofisi ya Idara ya Habari (Maelezo) Dar es Salaam.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) Zamaradi Kawawa, amesema kuwa Picha hiyo ya Rais Magufuri kwa kila moja itauzwa kwa shilingi 15,000 ya Kitanzania (bila fremu), huku picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ikiuzwa kwa sh. 5,000/=.
Chanzo cha habari: http://
Saturday, January 02, 2016
Sababu ya Mwimbaji Ommy Dimpoz Kufungwa Jela Marekani
Si kweli kuwa alikutwa na madawa ya kulevya kama wengine walivyodai. Tatizo, Ommy hakuwa na Visa ya kumruhusu kufanya kazi Marekani. Alitakiwa kuwa na O-1 Visa ambayo wanapewa wasanii. Wale wafadhili wake walifanya makosa katika kumwombea Visa hasa kama walijua atafanya show kubwa kinachotangazwa sehemu nyingi na kiingilio kikubwa. Uncle Sam (Serikali ya USA) anataka hela yake (kodi). Inaelekea alivyochelewa ndege ilifanya maswali mengi kuulizwa.
Mimi kama Msanii ninaelewa process ya kuomba Visa ya Usanii. Zinatolewa kiasi fulani kila mwaka na nyingi zinaenda kwa wasanii kutoka Canada, Ulaya, na nchi za Marekani ya Kusini (South America). Chache sana zinaenda kwa wasanii kutoka Afrika. Navyoona kulikuwa na njama za kumwonea Ommy hapa USA. Nani aliwaambia hao polisi kuwa hana Visa ya Usanii na wamhoji huko uwanja wa ndege.
Pole sana Ommy Dimpoz.
Msanii wa Bongo Flava Ommy Dimpoz |
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA:
Pia unaweza kusoma maelezo ya Dimpoz HAPA: