Niko Dar na nina mengi ya kuwaelezea. Ila internet connection shida. filiming ya Bongoland II ilianza Ijumaa iliyopita.
Leo nilitembelea Saba Saba.
Nina picha na habari nyingi tu. Natafuta connection nzuri.
Sunday, July 08, 2007
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
Muulize Michuzi yeye anafanyaje hapo bongo maana anatupa update kila baada ya masaa kadhaa
internet connection shida vipi, akina michu,mjengwa wanafanya vipi? tupe uhondo huo usitubanie,au mwenzetu uko busy
Kumbe na wewe umo ktk Bongoland 2!!! Hongera sana 'Bongowood'
Aaah DaChemi bana acha kulalamika mbona michuzi anaapudeti kila siku? au ww unataka intaneti kama ya masachuseti sijui bositoni uko unakoishigi?
Chemi
Naona sasa unatuyeyusha kiukweli, yaani matatizo ya internet uwe nayo wewe tu. Mbona Michuzi anapost kila siku au yeye yuko Ulaya?, hadi akina mjengwa aliyeko Iringa ana post na hajawahi sema ana pata matatizo kwenye internet. Au kwa vile mwenzetu umetoka USA unataka kuonyesha ni kiasi gani mnapata internet yenye ubora kuliko Tanzania. Lakini kusema kuwa una mengi ya kutuambia eti tatizo ni internet napingana na wewe. Hii inaonyesha wewe huna chochote, unataka tu kujibishololisha tu. Na ulivyo limbukeni utaacha kupost hii comment ila utakuwa umepata ujumbe. Kama huna cha kupost heri unyamaze kuliko kusingizia internet.
Bongo internet connection siku hizi sio shida nashangaa unatoa kisingizio. Siku hizi bongo intenet surfing kwa saa ni Tshs mia tano tuu na sehemu zingine ni lisaa limoja na nusu. We dada Chemi vipi??? lete hizo pics za sabasaba.
Post a Comment