Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Monday, July 02, 2007
Production ya sinema Bongoland II imeanza!
Baadhi ya Crew wa Bongoland II wakiongea na Producer Mussa Kissoky wa Sofia Records.
Bwana Kibira akielekea kwenye usafiri wa kwenda mjini Dar.
Mtengeneza sinema, Josiah Kibira, na timu yake wamekwisha tua Bongokwa ajili ya shughuli za kutengeneza sinema ya Bongoland II.
Asante Kaka Michuzi kwa kunipa updates na kuniruhusu kutimia picha.
4 comments:
Anonymous
said...
haa jamani wana sinema wa tanzania wako wapi kumpoke na kumkaribisha mwanasinema mwenzetu? lakini angekuwa jipopo katoka nigeria nisingeshangaa actors na producers nk wa kitanzania hapo wanja wa ndege ungewaona na kuhagi na smile kibao! na japo sinema (video) hizo za wanigeria hazina ubora (kiufundi) wowote zaidi ya ....... jamani chukueni nafasi hii ya kujifunza na kumpa support mwenzetu si lazima kulipwa yeye ni indie wala si studio lakini kiufundi ni anajua sana huyo bwana ombeni kuwepo set lna locations mabalimbali muone jinsi anayochukua location sound,anayodirect actor,kubwa zaidi (mu ares) LIGHTING na cinematography-different angles au sizes pia kama hiyo haitoshi tafuteni sineama zake mwangalie kuna mengi ya kujifunza japaokuwa nazo ni video tuu lakini tofauti ya video ya ki- sinema na video ya ki-video za wanigeri mtaziona hapo ktk uchukuaji wake au ikishatoka asanteni. kila la kheri brother kibira Raceisnobar
Kaka Josiah kibira, Napenda kukupa hongera kwa kuendeleza kipaji chako nakazi ya kuiweka Tz katika ramani ya waigizaji au watengeneza filamu.Usikate tamaa kama ukupata mapokezi bongo kwani hata Yesu mwenyewe akuwa recognized nyumbani kwake eti wewe? ukirudi nipigie simu sisi wa hapa maryland tunajuwa umuhimu wa msanii wa kitanzania maana yake nini hapa ughaibuni. Piga 3017687965.Projestus rwegarulila
Kaka Projestus... Kibira hapa... Nashukuru sana. Kazi za kujifanyia hauangalii ni nani ananiona.."yaani kabambone" Hii ni safari ndefu sana na sisi tunaelewa kuwa katika safari kuna mazuri na mabaya. Hayo yote hayatazuia kufikia lengo letu. Malengo yetu ni kukuza Kiswahili katika sinema za kisasa. Na tulifurahi sana mzee Michuzi, Mzee Musa Kissoki na wengine walikuwapo..pale pale airport...tunawashukuru sana!!
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
4 comments:
haa jamani wana sinema wa tanzania wako wapi kumpoke na kumkaribisha mwanasinema mwenzetu? lakini angekuwa jipopo katoka nigeria nisingeshangaa actors na producers nk wa kitanzania hapo wanja wa ndege ungewaona na kuhagi na smile kibao! na japo sinema (video) hizo za wanigeria hazina ubora (kiufundi) wowote zaidi ya .......
jamani chukueni nafasi hii ya kujifunza na kumpa support mwenzetu si lazima kulipwa yeye ni indie wala si studio lakini kiufundi ni anajua sana huyo bwana
ombeni kuwepo set lna locations mabalimbali muone jinsi anayochukua location sound,anayodirect actor,kubwa zaidi (mu ares) LIGHTING na cinematography-different angles au sizes
pia kama hiyo haitoshi tafuteni sineama zake mwangalie kuna mengi ya kujifunza japaokuwa nazo ni video tuu lakini tofauti ya video ya ki- sinema na video ya ki-video za wanigeri mtaziona hapo ktk uchukuaji wake au ikishatoka
asanteni. kila la kheri brother kibira
Raceisnobar
anonymous wa 8:31am, asante sana kwa maoni yako. Unapointi kibao.
Je, watu watasikia?
Na umesema kweli, hii ni nafasi nzuri kwa waTZ kujifunza, na naona bwana Mussa Kissoky wa Sofia Records kawa kwenye mstari wa mbele.
Kaka Josiah kibira,
Napenda kukupa hongera kwa kuendeleza kipaji chako nakazi ya kuiweka Tz katika ramani ya waigizaji au watengeneza filamu.Usikate tamaa kama ukupata mapokezi bongo kwani hata Yesu mwenyewe akuwa recognized nyumbani kwake eti wewe? ukirudi nipigie simu sisi wa hapa maryland tunajuwa umuhimu wa msanii wa kitanzania maana yake nini hapa ughaibuni. Piga 3017687965.Projestus rwegarulila
Kaka Projestus... Kibira hapa...
Nashukuru sana. Kazi za kujifanyia hauangalii ni nani ananiona.."yaani kabambone" Hii ni safari ndefu sana na sisi tunaelewa kuwa katika safari kuna mazuri na mabaya. Hayo yote hayatazuia kufikia lengo letu. Malengo yetu ni kukuza Kiswahili katika sinema za kisasa. Na tulifurahi sana mzee Michuzi, Mzee Musa Kissoki na wengine walikuwapo..pale pale airport...tunawashukuru sana!!
Post a Comment