Picha Kutoka Maggid Mjengwa BlogWadau, mnakubuka kaniki. Nakumbuka kuona wazee kijijini wamevaa. Hapo zamani za kale zilikuwa na soko sana. Siku hizi tunaziona sana sana kwa wacheza ngoma.
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Picha Kutoka Maggid Mjengwa Blog
1 comment:
Kaniki bei poa. Shs. 3000/- tu!
Post a Comment