Hii picha niliwahi kuipata mwaka 2000 nikamtumia rafiki yangu wa uganda akanigombeza sana ,lakni mpaka leo zikufaham kwanini alimaind. Anyway!Kem nina issue tofauti kidogo!,Hapa bongo kuna gazeti limeripoti kwamba Rais Bush huwa anatumia madawa ya kulevya (Concain) anapokuwa ikulu,je hii issue imekaaje uko?ipo kweli au ni mambo ya magazeti tu?
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
5 comments:
Chemi, hii picha inaniumiza macho! nadhani nikiiangalia sana kichwa kinaweza kuanza kunigonga.
DOH!
Do u look Down kwa wenye Makengeza?
Nadhani hukufikiria Mara Mbili wakati unapost hayo maneno,natumai utawaomba radhi
Hii picha niliwahi kuipata mwaka 2000 nikamtumia rafiki yangu wa uganda akanigombeza sana ,lakni mpaka leo zikufaham kwanini alimaind.
Anyway!Kem nina issue tofauti kidogo!,Hapa bongo kuna gazeti limeripoti kwamba Rais Bush huwa anatumia madawa ya kulevya (Concain) anapokuwa ikulu,je hii issue imekaaje uko?ipo kweli au ni mambo ya magazeti tu?
Hiyo habari ya yeye kutumia 'coke' huko white house wameuzima. Tunajua kuwa alikuwa anatumia kabla ya kuwa rais na katika 'ujana' wake.
Post a Comment