MBongo Hasheem Thabeet, ameingia rasmi NBA.  Atachezea timu ya Memphis Grizzilies.  Namtakia mafanikio mema akiwa NBA.
Mnaweza kupata taarifa zaidi hapa:
http://www.nba.com/grizzlies/
http://www.wmctv.com/Global/story.asp?S=10598452
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 
 
 
 
 


2 comments:
Hashim ajifunze kutunza pesa zake. Wajanja watamliza!
Hongera Hasheem!
Post a Comment