Friday, June 26, 2009

Kifo cha Michael Jackson Karibu Kiue Mtandao!

Duh! Hivi mna habari kuwa Mtandao (internet) karibu ife jana. Kisa, watu dunia nzima walikuwa wanatafuta habari za kifo cha Michael Jackson. Kama ulifanya search na kuona ilikuwa taratibu mno sababu ilikuwa hiyo, watu wengi mno waliingia kwenye neti.

Inanikumbusha siku ile 9/11. World Trade Center ilivyoangushwa. Internet ilianguka siku hiyo.

Mnaweza kusoma habari zaidi hapa:

http://edition.cnn.com/2009/TECH/06/26/michael.jackson.internet/

No comments: