Thursday, October 08, 2009

Weusi Watukanwa Australia



Kwa wasiojua kuigiza ukiwa na 'Black Face' (make-up maalum inayotengeneza na masizi) ni kashfa kubwa sana hapa Marekani. Inatokana na historia ya weusi kuonewa Hollywood, Broadway and katika sanaa za maigizo na uimbaji.

6 comments:

Nautiakasi said...

Ahh Da Chemi mbona hujui kujieleza? Yaani utafkiri si mwandishi wa habari! Daima ukitoa maelezo yanakuwa hayajikamilishi, aibu zaidi wewe ni ngwini (umesoma masomo ya art) tena mwandishi wa habari, ingekuwa mtu wa FoE (fuculty of engineering) enzi hizo ningekusamehe! Unapo eleza kitu "assume" unaowaeleza wote hawajui chochote kuhusu habari husika,then tumia kiswahili kilichonyooka!

Anonymous said...

Ilikuwa karibu Ted Danson aue career yake kama actor shauri ya kufanya skit akiwa na blackface.

Anonymous said...

hii safi sana, tena ni nzuri zaidi kwa waafrika wenye tabia ya kujikataa na kujifanya wazungu.

Anonymous said...

Asante NAUTIAKASI Da Chemi ukweli ni kwamba kwenye maelezo yako mengi huwa hujui kumpa msomaji habari iliyonyooka na kueleweka mara ya kwanza nilidhani unafanya tafsri hivyo inakuwa vigumu lakini nimeona inakuwa tabia yako. labda umeanza kusahau kiswahili?

KUHUSU HAO AUSTRALIA NI WAJINGA SURA ZAO KAMA CHIMPAZEE SASA WANATUKANA NINI

Anonymous said...

Acheni kumsema Da Chemi! Big up Dada. Kuna wabongo waliozaliwa na kusoma Tanzania. Wakipata nafasi ya kwenda nje wanajifanya wamesahau kiswahili. Kweli kabisa! Wanaaibisha kweli. At least Da Chemi anajitahidi kutangaza nchi na lugha. Ukikaa nje miaka mingi hutajua lahaja ya siku hizi.

Anonymous said...

Kazi nzuri sana Da Chemi! You make us proud!