Tuesday, May 29, 2012

Rais Kikwete ampokea Rais Allasane Ouattara wa Ivory Coast jijini Arusha



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Allasane Ouattara uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro jijini Arusha leo, akiwa ni mmoja wa wageni mashuhuri kuhudhuria mkutano wa afDB. Picha na IKULU

No comments: