Monday, November 04, 2013

Rais Kikwete Aaga Mwili wa Jaji Hilary Mkate

Rais Jakaya Kikwete akimfariji Mwenyekitio wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es Salaam


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate leo Oktioba 4, 2013 Kinondoni Dar es Salaam

PICHA NA IKULU

No comments: