The Late Jerry Isaac Mruma |
Ninakushukuruni marafiki zangu, ninazishukuru blogu na tovuti zote zilizotoa tangazo la kumtafuta Jerry Isaac Mruma, na yeyote kwa namna yoyote aliyotoa ushirikiano kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa kusali, kuomba na kutoa maneno ya kutia faraja katika kipindi chote tokea Jumapili hadi kufikia leo, Ijumaa, Novemba 22, 2013 ambapo mwili wa Jerry umepatikana.
Habari zaidi zitatolewa na familia itakapokuwa tayari.
Asanteni.
Subi|wavuti.com
4 comments:
Chuo cha USIU ni majanga .kiko pale jirani na uwanja wa kasarani na hotel safaripark.ni chuo kilicho gubikwa na scandal za ajabu sana zinazo wakumba wanafunzi.wazazi watz pamoja ba pesa zenu msipeleke vijana wenu kusoma pale.
Habari ya kutafutwa kwake nimeisoma leo asubuhi Michuzi Blog nikaplay video aliyokuwa anahojiwa GBS tv juu ya Kilimo Yetu. Jamani mbona kifo hakina huruma. Kijana Mbichi kama huyu anauwawa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana hakika imenitia simanzi. Poleni sana Wafiwa na wote walioguswa na msiba huuu. Muumba alitoa leo ametwaa. RIP Jerry. Vifo vya watoto na Vijana huniumiza sana ROHO yangu.
Nimesikia kuna mtanzania mwingine alifariki kwa ajali jumamosi huko huko USIU-Kenya after hiyo Tanzania night, Leo Jerry tena. Alale pema
Msiba wa dogo umenisikitisha sana... Huyu dogo namjua kitambo he is a very bright Guy..
Kwa wasio mjua unaweza ingia google na ku type Jerry Isaac Mruma.. Ana website yake binafsi na ya kampuni yake... Inayoitwa Kilimo yetu ipo kenya.
At the age of 21 tu ameanzisha hii kitu inayoitwa kilimo yetu in short its a green house project in a year would be worth million dollars.. His planning was moving so well.. Alikuwa anaenda miliki approx acre 10 huko Nairobi.
Was having a big support from World Bank, chuoni kwao, hata CEO wa safari com alikuwa so admired na huyu jamaa.. Alikuwa amesha pata sponser wa kutosha...
In short was upcomming young billionair katika ardhi ya Kenya.. Na hisi ni wivu tu wa wakenya kuona mtanzania tena mdogo tu anafanikiwa kias hicho...
Dogo amezaliwa mwaka 90 tu lakin ameshafanya mambo makubwa tu.. Its a veery saaad news, ki ukweli nimesikitishwa sana na kifo cha jamaa...
Hii ndo taarifa iliyotolewa hapa chuon United States International University.
Hakuwa club but kulikuwa na party ya watanzania ndo wakamteka na kumuua..
Inshort ni wivu tu wa ndugu zetu kuona mtanzania mdogo anafanikiwa katika ardhi y
Post a Comment