
Uhuru wa Tanganyika ulikuwa Disemba 9, 1961. Ni miaka 47 iliyopita. Pichani ni mezi kadhaa kabla ya uhuru mwaka 1961, Mwalimu akiwa na Mama Barbro Johansson nyumbani kwake Kahororo, Bukoba. ( Picha kwa hisani ya Maggid Mjengwa Blog)
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
1 comment:
AHSANTE SANA MAANA HIYO PICHA INIKUMBUSHA SHULE YANGU NILIYOSMA . KAHORORO SEC SAFI SANA MDAU MATUKIO KAMA HAYA MUHIMU SANA KWA JAMII ZETU KUJUA TUNATOKA WAPI NA TUNAENDA WAPI ??
AHSANTE SANA
Post a Comment