Tuesday, September 27, 2011

Inspector General wa Polisi Said Mwema Apata Ajali ya Gari Dar!

Kutoka Haki Ngowi Blog:
Gari ya IGP Said Mwema

IGP Said Mwema ((Pichani aliyenyoosha mkono) amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea jana (Pichani)  (Septemba 26, 2011) iliyotokea barabara ya Kivukoni Front mbele ya ofisi za takwimu na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa majira ya saa 8 mchana. Gari ya IGP ilikuwa inatokea magogoni iligongana na gari dogo (Saloon) T 960 AYK gari ya IGP iliumia sana upande wa mbele kushoto.Picha na: Deusdedit Moshi-DM Photo Solutions(TZ)

No comments: