Saturday, December 06, 2008

Kweli Kabisa!



Kama umewahi kuingia kwenye elevator na mzungu ni lazima muangalie hii:

http://www.youtube.com/watch?v=p95zWsAmTyw

8 comments:

Faith S Hilary said...

it is so true wot he was tokin abt but at the end it was so funny!

Anonymous said...

Mimi ni mwanamke na ninakaa mji fulani mkubwa. Nikiingia kwenye lifti na mzungu ni kweli wanashika pochi na kuwa na wasiwasi. Wakati mwingine wanashuka kabisa!

Anonymous said...

Ni kweli kabisa, mi nipo bristol, UK. Wakati mwingine kama kuna lift mbili na wote mnasuibiri lift, say ya kwenda juu, basi yeye atajizubaisha mpaka asiingie lift moja na wewe. Du kazi kweli kuishi kwenye nchi za watu. Lakini hawa jamaa hata wakiwa kwetu wanajishaua kiaina

Anonymous said...

i dont like this one not funny

Anonymous said...

we mama nawe mbaguzi.

unashadadia mambo ya kibaguzi

Anonymous said...

Kama unavyosema Da Chemi! NI KWELI KABISA!

Anonymous said...

Hivi majuzi niliingia kwenye lifti kwenye jengo fulani hapa US. Kulikuwa na mama wa makamu wa kizungu mle. Mlango ulivyofunguliwa na alivyoniona alionyesha woga kabisa. Mpaka tulivyoshuka 1st floor jasho ilikuwa inamtoka nabega yake kalishikilia kweli kweli. Nikamwambia have a good day.

Anonymous said...

Video yako ni ya ukweli...it is the fact in these developed countries...however, ask your self a reverse question...can a mzungu walk around Dar without being noticed by local thugs that are contatntly raoming Dar cities ready to attack at the moment's notice? This has happened to wazungu wengi in dar...one can longer walk around the oysterbay/ocean road?