Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Friday, October 17, 2008
Baada ya Debate ya Alhamisi!!
Hii picha ilipigwa mara baada ya debate ya mwisho katika uchaguzi 2008. John McCain alikosea njia mara baada ya kupeana mikono na Barack Obama. McCain anafaa kuwa kwenye Saturday Night Live.
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
No comments:
Post a Comment