Friday, October 31, 2008

Happy Halloween!!!


2 comments:

Anonymous said...

Da Chemi

Tafadhali fungua link hii utajionea watu wanavyotafuta kumpungizia umaarufu siku za mwisho the next president of united states http://news.yahoo.com/s/ap/20081101/ap_on_el_pr/obama_aunt

Regards

Dominic

Anonymous said...

Inafurahisha! Huyu wa kwanza chini naona alizinywa za kutosha.

Da Chemi, vipi tena hawa jamaa wa AP wameenda kumchokonoa shangazi yake "rais mtarajiwa" wakati zimebaki siku mbili tu jamaa apate kibali cha kuingilia ikulu?

Jamaa naona wanatafuta kila njia ya kumng'ang'ania. Wanamuhoji kila swali. Kumjaribu kwa kila njia.

Jamaa yuko fiti kweli kweli, anajibu kila swali kwa ufasaha kabisa. Wakati mwingine anawasahihisha hata waulizaji kwa kuwaaambia "Nadhani hivi ndivyo uliyokusudia kuniuliza, ...." halafu na kutoa jibu utadhani alilitayarisha wiki iliyopita.

Lakini suala hili la shangazi "mzamiaji" sijui atajibu vipi maskini.

Tunamuombe Mungu amjaalie amalize safari yake salama. Nchi na Dunia ibadilike.
Da Chemi usisahau kupiga kura chukua rafiki zako wote.

Ron
London.