Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
Wednesday, October 22, 2008
Matako Wowowo!
Kwa hii picha ya juu najua kuna akina kaka watarukwa na akili kabisa! Hapa Marekani ukiwa na matako makubwa wazungu wanasema eti, "Ghetto Booty"!
Hao waasia hawana kitu huo nyuma. Wamepigwa pasi, sasa kusudi waonekane kama wana matako makubwa kwa muda wanaenda kupiga picha kwenye hivi viti vya matako. Sijui kwa ni kaweka mdoli wa mbwa hapo?
nipo hoi kbisa yaani nimeyaangalia hayo matko halafu nikakumbuka mademu wa kiasia haki ya nani hivi hawa jama yaani jpo kawowowo hakuna. ndiyo maana huwa nawaambia marafiki zangu jamani dada zetu nawapa 5 kwa kuwa na mawowowo bomba hata kama mimi siyo mpenzi ila poa tu. kuwa na mtu hana kawowowo japo kutikisa kidogo? jamani hii hatari
anti chemi nikishindwa kurudi ofisini(coz am out for lunch) itakukost ujue?!!mwenzio apa presha iko juu halafu nina ripoti ya kusubmit kwa mnene wangu badae,hizi vitu anti uwe unaweka wikiendi tu kutusaidia sisi wenye mioyo mdogo,pliiiiiz!
hahahahahahaha nimesoma maoni ya kina kaka zangu aisee nimecheka walai, Da Chemi pliz uwe unawawekea na reception ili wamalize kiu yao! Ila sasa utani mbaya hiyo picha ninausifu uumbaji wa Mumngu walai!
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA.
You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
7 comments:
nipo hoi kbisa yaani nimeyaangalia hayo matko halafu nikakumbuka mademu wa kiasia haki ya nani hivi hawa jama yaani jpo kawowowo hakuna. ndiyo maana huwa nawaambia marafiki zangu jamani dada zetu nawapa 5 kwa kuwa na mawowowo bomba hata kama mimi siyo mpenzi ila poa tu. kuwa na mtu hana kawowowo japo kutikisa kidogo? jamani hii hatari
Huyo wa juu ni msomali!
Kweli mungu yupo! Picha ya juu ina noga!
anti chemi nikishindwa kurudi ofisini(coz am out for lunch) itakukost ujue?!!mwenzio apa presha iko juu halafu nina ripoti ya kusubmit kwa mnene wangu badae,hizi vitu anti uwe unaweka wikiendi tu kutusaidia sisi wenye mioyo mdogo,pliiiiiz!
Halleluyah! Huyo wa juu kaumbwa hasa! Ila sijui sura yake ikoje? Da Chemi una front view.
hahahahahahaha nimesoma maoni ya kina kaka zangu aisee nimecheka walai, Da Chemi pliz uwe unawawekea na reception ili wamalize kiu yao!
Ila sasa utani mbaya hiyo picha ninausifu uumbaji wa Mumngu walai!
Kweli kazi ya Mungu haina makosa
Post a Comment