Asante Michuzi Jr. (Jiachie blog) kwa hii picha. Na mlioko Bongo hebu mpashe huyo jamaa kuwa atazame neti ajione akifanya ushenzi wake!
*************************************************************
Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.
3 comments:
Sasa huu ni ustaarabu gani jamani. Hivi kwa mtaji huu tutaweza kweli kuepuka magonjwa yanayoepukika?
Mtumee! Jamaa anaturingia chombo chake!
UCHAFU!
Post a Comment