Thursday, October 23, 2008

Ndugu weusi wa John McCain

Wadau, kama mnavyofahamu Senator John McCain anayegombea urais wa Marekani kupitia chama cha Republicans aliwahi kukana kuwa ana ndugu weusi. Aliwahi kusema hana ndugu mweusi hata moja na familia yake hawakuwa na watumwa! McCain anakataa lakini mbona ndugu zake wengine wanakubali kuwa wana ndugu weusi?

Kama mnaelewa historia ya utumwa hapa Marekani ni vigumu kwa wazungu ambao ndugu zao walikuja Marekani hapo zamani za kale kusema kuwa ndugu zao hawakuwa na watumwa. Labda kama walikuwa kwenye mikoa ya kaskazini hapa Marekani kama Massachusetts na New Hampshire. Wenye ndugu waliotoka kusini mwa Marekani lazima walikuwa na watumwa. Na hao watumwa walichukua majina ya ma slave masters wao.

Wiki hii CNN na magazeti mengine wamefichua siri yake. Sijui wale crackers wabaguzi watasema nini sasa! LOL! Kumbe mtu wao mweupe an ndugu weusi! Tuna cheka mpaka mbavu hatuna!

David Neiwart kutoka, "Crooks & Liars" kaandika:

"So it's perhaps not a surprise that, given the chance to banish that cloud by doing the human thing, the right thing, and embracing the black side of the McCain family, the Straight Talking Senator From Arizona chose essentially to run from them and hide. Because acknowledging them not only was too painful, but might prove too harmful to his chances of success in a political party predicated on white privilege.
Moreover, this also fits what we know about his reflexive predisposition on civil-rights matters. This is, after all, the guy who voted against a Martin Luther King holiday back in 1984."

Kwa habari zaidi someni:

http://online.wsj.com/article/SB122419511761942501.html?mod=article-outset-box

http://www.gather.com/viewArticle.jsp?articleId=281474977485037

http://www.telegraph.co.uk/news/newstopics/uselection2008/barackobama/3232080/Descendents-of-slaves-owned-by-ancestors-of-John-McCain-will-vote-for-Barack-Obama.html

No comments: