Monday, March 23, 2009

Rais Mpya wa Madagascar


Rais mpya wa Madagascar ni Andry Rajoelina. Ana miaka 34 tu, hivyo ni mdogo kuliko marais wote wa Afrika. Katiba wa Madagascar inasema kuwa lazima rais awe na miaka 41 au zaidi. Alitwaa madaraka kutoka kwa Marc Ravalomanana ambaye alipinduliwa na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.

Kusoma habari zaidi bofya chini.

No comments: